Natembea nimevaa Barakoa

Natembea nimevaa Barakoa

Wakuu Salaam!.

Juzi nikiwa nimemaliza dozi ya UTI nikasema ngoja nijipe pole kwa kujivinjari na mpenzi wangu.

Katika kujivinjari akaniomba nizame uvinza na mimi bila hiana nikazama, Tukafanya ya kufanya mpaka mwisho.

Sasa Leo nimeamka mdomoni kwa pembeni kukiwa na upele wa kutosha,Now natembea nimevaa Barakoa Ili kuficha hivi vipele.
Ndugu zangu tusizame tena uvinza hakufai.

Nawasilisha.
Mimi na ufuksa wangu wote niliacha kuzama uvinza baada ya kupigwa na kitu kizito
 
Wahi mapema kanunue hako kamzigo
IMG_20230801_193630.jpg
 
Pole
Wakuu Salaam!.

Juzi nikiwa nimemaliza dozi ya UTI nikasema ngoja nijipe pole kwa kujivinjari na mpenzi wangu.

Katika kujivinjari akaniomba nizame uvinza na mimi bila hiana nikazama, Tukafanya ya kufanya mpaka mwisho.

Sasa Leo nimeamka mdomoni kwa pembeni kukiwa na upele wa kutosha,Now natembea nimevaa Barakoa Ili kuficha hivi vipele.
Ndugu zangu tusizame tena uvinza hakufai.

Nawasilisha.
Pole sana mzee
 
Back
Top Bottom