Natengeneza BUSINESS CARDS

aabb

Senior Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
105
Reaction score
19
​Natanguliza heshima kwenu wakuu. Natengeneza Business Cards kama sample zinavyoonekana kwenye picha hapa chini.
Kuna aina nyingi sana hapa nimeweka mifano tu. (Vilevile ni pamoja na vitambulisho)
Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0715393111.

 

Uko maeneo gani je upo hapa hapa Dar je?na gharama ya kutengeneza inakuwa sh ngapi? naomba kujua plz
 
Nipo Dar, bei inategemea quality ya karatasi, 200/=, 300/=, na kuendelea quality inavyoongezeka.
 
Nipo Dar, bei inategemea quality ya karatasi, 200/=, 300/=, na kuendelea quality inavyoongezeka.

Ninahitaji product sticker lables,jee unazitengeneza?quotation plz tuokoe muda wa kutafutana!
 
Habari wana jf, napenda kuwataarifu kuwa ninatengeneza kadi za sherehe mbali kama zinavyoonekana, kwa mawasiliano 0788-393111/0715-393111.
 

Attachments

  • mfano kadi 2.jpg
    56.4 KB · Views: 451
  • S3.JPG
    110.4 KB · Views: 873
  • S1.JPG
    122.4 KB · Views: 689
  • S2.JPG
    113.3 KB · Views: 399
  • mfano kadi.jpg
    55.9 KB · Views: 358
  • Slide1.JPG
    448.1 KB · Views: 634
  • SEND-OFF.JPG
    61.1 KB · Views: 398
  • -- send off.png
    38.3 KB · Views: 770
  • Send.JPG
    401.5 KB · Views: 542
  • 2.jpg
    123.2 KB · Views: 414
Kuna design nyingi hizo ni chache tu.
 
Bila kusahau RISITI ZA BIASHARA
 
WEZESHA MAWASILIANO NA WATEJA WAKO kwa kutumia “Business Card” za kisasa, ZOTE LAMINATED, kwa bei ndogo karibu na bure. “Design” utakayohitaji. Kwa Dar es salaam FREE DELIVERY.


Kila kadi 100:-

Single sided kwa Tshs 20,000/= tu, bei ya zamani 30,000/=.

Double sided kwa Tshs 30,000/= tu, bei ya zamani 40,000/=.

PIGA - 0715 393 111 kwa ODA ya kutengenezewa.











 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…