Adriel Vin
Senior Member
- Jun 25, 2020
- 148
- 759
Habari za wakati huu wakuu, naomba tenda za kutengeneza matangazo madogo madogo kwa ajili ya kukuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii, pia napiga picha za kupromote biashara yoyote ile. Naomba kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa namba 0656 249 607.
Nina ujuzi na uzoefu katika kazi hii kwa miaka miwili. Naweza pia kutuma sample works zangu for refference.
Asante
Nina ujuzi na uzoefu katika kazi hii kwa miaka miwili. Naweza pia kutuma sample works zangu for refference.
Asante