Natengeneza matangazo madogo madogo kwa ajili ya kukuza biashara yako kwenye mitandao ya kijamii

Nimesema kuanzia 5k....nna criteria za kila poster ndo maana inaanzia 5k hadi 30k kwa poster moja.....au labda kama kwenye maelezo sikueleweka
Nataka kuanzisha kituo cha elimu mtaani kama tuition hivi hivi poster zako zitanisaidiaje namaanisha sijui chochote nielezee vipi zitaniletea clients.
 
tuwasiliane kwa namba 0656 249607
 
Back
Top Bottom