huwez ukawa na kila kitu.
Kama ni hivyo utaunda kitu kibaya.
Natumia mfumo wa ESS wa utumishi, yaani kuna makosa ya ajabu yamefanywa na waunda mfumo, ina naana walusakiziwa tu kazi .
Kama huna talent ya kitu usisome maana utaishia mle ulipoelekezwa hutaweza kubuni kitu. Inawezekana wewe ni muandishi wa vitabu au mwanamuziki mzuri, tafuta talent yako halisi acha hii milipuko Wengi tumepoteza Talents zetu kwa kufuata mkumbo. Mie nilifuata ajira nikaacha kipaji alichonipa mungu kimepotea
Wewe utakuwa na kipaji kingine , jaribu kukutafuta ila kama nicha mpira basi ushachelewa.
Kuna mtaalamu mmoja anasema kabla hujafika 35 uwe ushajua kipaji chako, huta angaika hapa duniani.
Mimi ni nimeona hivyo ila sio lazima au kweli uwe hivyo.
Lakini wewe kam IT fanya tafiti ili upate problems za kufanya usitegemee tu watu.
Je unaweza kufanya kazi za animation na simulation ? Je unalinda vipi kazi mteja iwapo atakupa idea yake ili usipotee nayo ?
Je makubaliano yapoje ?
Kama website complex unaifanya kwa muda gani ?