Mkuu hii website umetumia plugin au custom naona ni website ya kiwango cha chini sana kwasababu haija chukua render javascript bali ni hardcode tu.Karibuni
Mkuu hii website umetumia plugin au custom naona ni website ya kiwango cha chini sana kwasababu haija chukua render javascript bali ni hardcode tu.
Website nzuri haitumii hardcode au html au css,
Haitumii localStorage bali inatumia backend.
Inakuwa na realtime updates feature
Inakuwa na UI performance, sasa hapo hizi features zote hakuna hapo, ndio maana nimwsema ni ya kiwango kidogo
samahani lakini .mkuu
Aaaah, hamna kitu hapo hujawai kuona website wewe mkuu hivi wewe ni visual website designer?Hiyo niliunda kwa php, html, js na css.... Inatumia backend kufanya kazi....hiyo ni realtime update features sema hapo haipo live jamaa kashindwa kuilipia gharama za mwaka ungeiona live ipo vizuri
Hio siyo WordPress mkuu, nimetengeneza mwenyewe from scratchAaaah, hamna kitu hapo hujawai kuona website wewe mkuu hivi wewe ni visual website designer?
Kama umetumia php basi wewe umetumia wordpress, ambapo hii wordpress inatumia sana plugin sio kitu custom unaweza kwenda kuchukua tu Template huko ukaipakia sijui unapo ongea realtime updates, UI performance ect sijui unaelewa hivi vitu havipatikani huko wordpress kwenye php na kama ukilipia plugin ili kupata hizi features unatakiwa ulipie mpaka dollars 500 ambayo ni sawa na million huko. wewe unakuwa sio designer.
Makampuni mengi hayatumii plugin kwasababu hizi plugin zinatoa style zinazo fanana alafu ukizingatia kampuni zinataka kitu unique full copyright na custom lazima wamtafute developer.
Kwahiyo unakuta website kama hizi zako ni za kiwango kidogo sana na kila mtu anaweza kuzitumia kama akitumia plugin ya php kama yako hivyo ni website za kiwango kidogo sana na sio website nzito za kampuni kubwa hata kwa macho hapo naona hamna kitu.
Unajua backend ni nini au realtime ni kitu gani maana hapa hivi vitu sivioni chengine huwezi kumix Html na php kuwa kitu kimoja naona kuna vitu havipo sawa. hapo mkuuNatatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online) nafikiri kashindwa kuilipia gharama za kuendesha za kila mwaka ila ipo hewani kwenye kumbukumbu za web.archive org.
Itazame ilivyo nzuri kwa picha hapa chini
na kwa mtandaoni (online) hii, bonyeza hapa Bright & Genius Editors
Tovuti kama hii utaipata kwa bei ndogo ya 300,000 Tsh. Kwa mawasiliano 0756704145 nipo mkoa wa dar es salaam, Mbezi
Kafanya nini tena huko?Wewe Tumbili in town niache, mpumbavu wewe
We ni mjinga na hauna akili .Mkuu hii website umetumia plugin au custom naona ni website ya kiwango cha chini sana kwasababu haija chukua render javascript bali ni hardcode tu.
Website nzuri haitumii hardcode au html au css,
Haitumii localStorage bali inatumia backend.
Inakuwa na realtime updates feature
Inakuwa na UI performance, sasa hapo hizi features zote hakuna hapo, ndio maana nimwsema ni ya kiwango kidogo
samahani lakini .mkuu,
Mkuu kuna uzi wake , mwengine nafikiri maongezi hayajaanzia hapa, ukianzia hapa utaniona mimi labda mbaya au unafikiri labda jamaa anajua chochote kuhusu designer.We ni mjinga na hauna akili .
Nyote ni vijana watafutaji ambao mnabidi kutfutana private mkaongea na kujua namna gani ya kuboresha huduma zenu.
Mwenzako kaandika Uzi then wewe unakuja kuponda ili uonekane bora huu ni ujinga mkubwa sana .
Mkuu Tech Max hongera sana kwa kazi nzuri unazofanya. Kuna vitu nimeandaa uviongezee ili irudi hewani.Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online) nafikiri kashindwa kuilipia gharama za kuendesha za kila mwaka ila ipo hewani kwenye kumbukumbu za web.archive org.
Itazame ilivyo nzuri kwa picha hapa chini
na kwa mtandaoni (online) hii, bonyeza hapa Bright & Genius Editors
Tovuti kama hii utaipata kwa bei ndogo ya 300,000 Tsh. Kwa mawasiliano 0756704145 nipo mkoa wa dar es salaam, Mbezi
Nitakutafuta kuanzia wiki ijayo ijumaaSawa, lini tunakutana
Kwenye mambo yanayohusu mkate you have to be smart .Mkuu kuna uzi wake , mwengine nafikiri maongezi hayajaanzia hapa, ukianzia hapa utaniona mimi labda mbaya au unafikiri labda jamaa anajua chochote kuhusu designer.
Je, kulingana na kazi yake yeye ni designer kulingana na kazi yake mimi kwa utaalamu wangu yeye sio designer kabisa hajui chochote, kulingana na kazi anayodai ni yake na ametuma tu screenshot,
Hii inaweza kuwa ni mbaya kwa wateja kupoteza pesa zao, hii ni kulingana na itaalamu wangu, kwahiyo kuna mambo mawili moja unaweza kuniona namkandia au vipi na pili inaweza kuwa ni kweli hajui kama ninanvyosema, yeye hajui mimi natumia codes kufanya kazi zangu, sizani kama naweza kujadiliana naye chochote.