Website Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 822
- 416
Wajuaji washafika...Mkuu hii website umetumia plugin au custom naona ni website ya kiwango cha chini sana kwasababu haija chukua render javascript bali ni hardcode tu.
Website nzuri haitumii hardcode au html au css,
Haitumii localStorage bali inatumia backend.
Inakuwa na realtime updates feature
Inakuwa na UI performance, sasa hapo hizi features zote hakuna hapo, ndio maana nimwsema ni ya kiwango kidogo
samahani lakini .mkuu,
Mkuu hapa JF ni familia so ukimuona MTU anakosea mtafute private .Mkuu kuna uzi wake , mwengine nafikiri maongezi hayajaanzia hapa, ukianzia hapa utaniona mimi labda mbaya au unafikiri labda jamaa anajua chochote kuhusu designer.
Je, kulingana na kazi yake yeye ni designer kulingana na kazi yake mimi kwa utaalamu wangu yeye sio designer kabisa hajui chochote, kulingana na kazi anayodai ni yake na ametuma tu screenshot,
Hii inaweza kuwa ni mbaya kwa wateja kupoteza pesa zao, hii ni kulingana na itaalamu wangu, kwahiyo kuna mambo mawili moja unaweza kuniona namkandia au vipi na pili inaweza kuwa ni kweli hajui kama ninanvyosema, yeye hajui mimi natumia codes kufanya kazi zangu, sizani kama naweza kujadiliana naye chochote.
Wajuaji wanapokutana, elimu inapatikana.Wajuaji washafika...
Haya tuoneshe yako ya kiwango cha juu
Lete hiyo kazi mkuu nianze sahiviWajuaji wanapokutana, elimu inapatikana.
Na mimi nasoma ili Project yangu ikianza nipate wa kujitengenezea app based on MS access.
Pesa bado haijashikika mkononiLete hiyo kazi mkuu nianze sahivi
Kazi tunaweza kuanza mda huu tu mkuu mpaka baadae kila kitu kinakuwa tayariPesa bado haijashikika mkononi
Subiri mkuuWajuaji washafika...
Haya tuoneshe yako ya kiwango cha juu
Mkuu,Subiri mkuu
Unaweza kutrack kwa imei # simu iliyopotea?Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online) nafikiri kashindwa kuilipia gharama za kuendesha za kila mwaka ila ipo hewani kwenye kumbukumbu za web.archive org.
Itazame ilivyo nzuri kwa picha hapa chini
na kwa mtandaoni (online) hii, bonyeza hapa Bright & Genius Editors
Tovuti kama hii utaipata kwa bei ndogo ya 500,000 Tsh. Kwa mawasiliano 0756704145 nipo mkoa wa dar es salaam, Mbezi