Natengua kauli zangu: Nikki Mbishi ndiye Hip hop halisi iliyobaki era hii

Natengua kauli zangu: Nikki Mbishi ndiye Hip hop halisi iliyobaki era hii

RSM Dominik

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2026
Posts
207
Reaction score
561
Isee

Nimekua mfuatiliaji wa muziki japo sio kitambo sana huwa napenda kusikiliza miziki yote ila tukija upande wa rap nimekuwa nikiwafuatilia wanamuzik wa comercial au hiphop mabiti au laini kv stamina, youngkiller, darassa, youngdee,prof j,mwana fa nk hata ROMA ni commercial pia japo kwa kuwa anaimba dis za kisiasa watu wataona kama nimebugi LAKINI sikuwahi kabisa kuipenda hiphop ngumu aka TAMADUNI.

Lakini mwaka jana nikawa naisikia ngoma ya NIKII inaitwa NYAKATI ft grace matata(ni wayback song) then nyakati version2(miaka ya karibuni) akiipiga peke yake kiukweli jamaa alinikosha sana kwa aliyoyaimba mle isee, sikuwahi kumpenda nikki kwa kuwa niliona kama jamaa anakaza sana sasa kupitia hiyo nikajikuta nasikiliza albamu zake zooote tangu anatoka na nyimbo kama PLAY BOY then nikakutana na nyimbo zingine za kisasa kama DA VINCE CODE, MIPANGO YA POMBE, NANI ALIYETUROGA, KATIBA ,UTAMADUNI, na nyingine nyingi,Hivyo ikanifanya niwajue kampani yake kama ONE INCREDIBLE,P MAWENGE,SONGA, na wengine wengi ila nimenyoosha mikono NIKKI ana punch kali nadhani itafuatiwa na FID q hivyo hip hop halisi bongo kwa maono yangu inabebwa na hawa wawili.

OYA NIKKI MBISHI anaimba facts, anaimba maisha halisi ya kitaani,nyimbo zake zoote zimejaa harakati za mtanzania wa chini, harakati za vijana jamaa anaandika fact tangu kitambo lakini kwenye nomination za tuzo za ushindani utashangaa NEY WA MITEGO AU STAMINA anachukua tuzo ya mwana hiphop bora, Nikki ana melody yaani ana sound yake ya kipekee huwezfananisha na wengine ambao wanaigana, utaona mmoja anaiga kuchana kama mwingine.utaona huyu anachana kama ngwair, mwingine kama afande sele mwingine kama msanii wa nje ila mwamba nikki ana style unique. NIKKI ni fundi wa rhymes kama afande pia tena rhymes zinazoleta maana sio kama chid benz hicho ndicho nimetokea kukikubali kwa huyu bro.

JAMAA anaimba mapenzi, anaimba masuala yakisiasa km katiba, mfumuko wa bei, dah hii huwez ikuta kwa rappers weng ndio maana ninasema UNJU NI NOMA.

FB_IMG_17832277524479239.jpg
FB_IMG_17832279160433180.jpg
 
Wanaibuka watoto wasiojua maana ya muziki/nausela wa misokoto/michosho kwa mashabiki
Harakati fanaka/waraka huna tamati/hizi nyakati za mashaka...jiandae kuvutwa shati
DR.UNJU AKA UTINGO AKA JOGOO AKA TISHIO BINU NUKI.
 
Wanaibuka watoto wasiojua maana ya muziki/nausela wa misokoto/michosho kwa mashabiki
Harakati fanaka/waraka huna tamati/hizi nyakati za mashaka...jiandae kuvutwa shati
DR.UNJU AKA UTINGO AKA JOGOO AKA TISHIO BINU NUKI.
lile da vince code mpaka leo sijajua alilenga nn maana jamaa akiamua msijue hamtajua
 
anajua sana ndo msanii namba moja kwangu kisha fredrik muller kisha kad go



kwa nikki naikubali chapter,am not your role model,where my crown at,legend in the making akiwa na conboi
 
anajua sana ndo msanii namba moja kwangu kisha fredrik muller kisha kad go



kwa nikki naikubali chapter,am not your role model,where my crown at,legend in the making akiwa na conboi
fredrick muller ana ngoma kama ipi!
 
Back
Top Bottom