Natengua kauli zangu: Nikki Mbishi ndiye Hip hop halisi iliyobaki era hii

Hip hop ni mziki uliotumika kuadress maisha ya jamii husika then watu waka utwist ukawa biashara na pia kuugeuza kutoka awaking kwa wahusika na kuwa thlreat kwa hao hao wahusika thus why hip hop ya sasa yakina drake sio Ile ya kina krs one...same as duke na wanae , wakina diplomatic kwanza unit dhidi ya hawa wanaojiita mbuzi.. my best Nikki mbish track was nimezama na pesa kwanza...ila kuna kiumbe kinaitwa Uno ni habari nyingine
 
Uno ukimaanisha one the incredible ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…