Fanya uje kwa haraka
Ni wewe mpenzi wangu
Mwenye shingo ya upanga.
shemeji kulikoni??? lol! funguka mwambie akuje! khaaaaa!Fanya uje kwa haraka
Ni wewe mpenzi wangu
Mwenye shingo ya upanga.
Hapa kunani hommie...:spy:
funguka basi na wewe? taja herufi ya mwanzo basi!Jamani hamuoni ujumbe?
Fanya uje kwa haraka
Ni wewe mpenzi wangu
Mwenye shingo ya upanga.