FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Si umfate wewe kwani bado unaendelea kungojea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si umfate wewe kwani bado unaendelea kungojea?
hatan sijui Kipipi I think I am confused...
Alipo siwezi kwenda FirstLady1, ye ndo namsubiria hapa....si unajua tena.....
si urudi nyumbani tu Kaizer!! huchoki kumngoja!! teh mdada nenda bas!! akifika utuambie tumjue!!
mi nshaftur Kaizer!! we msubir labda anajpanga
teh! teh! teh! khaa!Fanya uje kwa haraka
Ni wewe mpenzi wangu
Mwenye shingo ya upanga.
charminglady kumbuka kwao siwezi kumfata kuna mbwa wakali, hakuna simu, ni ile nipo chini ya mti flani hivi nasubiri atokee...taswira yake bado kumkichwahv bado unamsubiri tu? mwenzio huwa wanawafata mwe! we endelea kuchomeshwa mahindi. hebu kamfate wewe!
bora umuulize mana style ya shingo ya upanga mm hapana kuona