Nateseka na Hepatitis kwa miaka 4 sasa

Pole mkuu, nikushauri nenda Regency Hospital pale utapata matibabu ya uhakika kwa hilo tatizo lako mimi nina Dada yangu alikua na hilo tatizo alipokwenda walimpima na kukutwa na ugonjwa huo wakafanya uchunguzi kujua ni dawa ipi sahihi kwake kutumia kulingana na ukubwa wa tatizo, matibabu yake yapo njia mbili sindano na vidonge inategemea na ugonjwa umekua kwa kiasi gani, Dada yangu yeye alipatiwa tu vidonge kutumia na sasa yuko fresh kabisa

Ila gharama za matibabu zipo juu sana, vipimo peke yake ukienda ni laki7, vidonge dozi ya mwezi mzima Million 3, sindano zake ni Million 30. Nenda Regency Hospital watakusaidia.

Kama una Bima ya afya itakua vizuri zaidi.

"M.mungu atujaalie upone Inshaallah"
 
Huu ni ushauri nzuri sana tena unao ambatana na ushuhuda. Naamini mleta madam atauchukua Kama ulivyo na mwenyezi Mungu atamuongoza aweze kupona kabisa tatizo hilo.
 
Kumbe matibabu yake siyo ya mchezo, gharama zake ziko juu sana. Sijui ni kwa nini serikali haitoi hii chanjo kwa kila mwananchi ili wananchi waweze kuwa madhubuti kiafya?. Kuliko kuingia gharama kubwa za kujitibu bora serikali ingewekeza kwenye chanjo. Mbona chanjo ya mabusha na matende ambayo hayauwi haraka wameyawekea chanjo ya bure?
 
Kinga yake ipo ila hutolewa tu kwa watu wa afya. Madokta na ma nurse kutokana na mazingira ya kazi zao. sijajua kwa nini kinga hii haitolewi kwa watu wote.
 
Amen
 
Mkuu chanjo zinatolewa. Nenda Muhimbili utapatiwa, matibabu pia yapo kwa ufadhili wa WHO.
 
Huu ugonjwa unatibika, njoo PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…