BLACK_WIDOW
Senior Member
- Nov 17, 2018
- 149
- 382
- Thread starter
- #21
Asante ndugu nitakwendaPole sana
Nenda Muhimbili watakusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante ndugu nitakwendaPole sana
Nenda Muhimbili watakusaidia
Pole mkuu, nikushauri nenda Regency Hospital pale utapata matibabu ya uhakika kwa hilo tatizo lako mimi nina Dada yangu alikua na hilo tatizo alipokwenda walimpima na kukutwa na ugonjwa huo wakafanya uchunguzi kujua ni dawa ipi sahihi kwake kutumia kulingana na ukubwa wa tatizo, matibabu yake yapo njia mbili sindano na vidonge inategemea na ugonjwa umekua kwa kiasi gani, Dada yangu yeye alipatiwa tu vidonge kutumia na sasa yuko fresh kabisaNi mwaka wa 4, tangu nigundulike kuwa na ugonjwa huu unaoathiri ini, lakn kwa kipnd chote hko sijapata tiba ya uhakika, hicho ndo kinanipa hofu, kwani tatizo linazidi kuwa kubwa, nimeamua kutumia jamvi hili kuomba wana jf kama kuna ajuaye wapi na nani anayeweza kutibu tatizo hili, ili niweze kusaidiwa
Pole mkuu, nikushauri nenda Regency Hospital pale utapata matibabu ya uhakika kwa hilo tatizo lako mimi nina Dada yangu alikua na hilo tatizo alipokwenda walimpima na kukutwa na ugonjwa huo wakafanya uchunguzi kujua ni dawa ipi sahihi kwake kutumia kulingana na ukubwa wa tatizo, matibabu yake yapo njia mbili sindano na vidonge inategemea na ugonjwa umekua kwa kiasi gani, Dada yangu yeye alipatiwa tu vidonge kutumia na sasa yuko fresh kabisa
Ila gharama za matibabu zipo juu sana, vipimo peke yake ukienda ni laki7, vidonge dozi ya mwezi mzima Million 3, sindano zake ni Million 30. Nenda Regency Hospital watakusaidia.
Kama una Bima ya afya itakua vizuri zaidi.
"M.mungu atujaalie upone Inshaallah"
Kumbe matibabu yake siyo ya mchezo, gharama zake ziko juu sana. Sijui ni kwa nini serikali haitoi hii chanjo kwa kila mwananchi ili wananchi waweze kuwa madhubuti kiafya?. Kuliko kuingia gharama kubwa za kujitibu bora serikali ingewekeza kwenye chanjo. Mbona chanjo ya mabusha na matende ambayo hayauwi haraka wameyawekea chanjo ya bure?Pole mkuu, nikushauri nenda Regency Hospital pale utapata matibabu ya uhakika kwa hilo tatizo lako mimi nina Dada yangu alikua na hilo tatizo alipokwenda walimpima na kukutwa na ugonjwa huo wakafanya uchunguzi kujua ni dawa ipi sahihi kwake kutumia kulingana na ukubwa wa tatizo, matibabu yake yapo njia mbili sindano na vidonge inategemea na ugonjwa umekua kwa kiasi gani, Dada yangu yeye alipatiwa tu vidonge kutumia na sasa yuko fresh kabisa
Ila gharama za matibabu zipo juu sana, vipimo peke yake ukienda ni laki7, vidonge dozi ya mwezi mzima Million 3, sindano zake ni Million 30. Nenda Regency Hospital watakusaidia.
Kama una Bima ya afya itakua vizuri zaidi.
"M.mungu atujaalie upone Inshaallah"
Kinga yake ipo ila hutolewa tu kwa watu wa afya. Madokta na ma nurse kutokana na mazingira ya kazi zao. sijajua kwa nini kinga hii haitolewi kwa watu wote.Kumbe matibabu yake siyo ya mchezo, gharama zake ziko juu sana. Sijui ni kwa nini serikali haitoi hii chanjo kwa kila mwananchi ili wananchi waweze kuwa madhubuti kiafya?. Kuliko kuingia gharama kubwa za kujitibu bora serikali ingewekeza kwenye chanjo. Mbona chanjo ya mabusha na matende ambayo hayauwi haraka wameyawekea chanjo ya bure?
Pole sana ndugu! Eeh! Mwenyezi Mungu mwingi wa huruma na baraka tele nakushukuru kwa ajili ya uaminifu wako nakuomba ndugu huyu anayesumbuliwa na tatizo hili kwenye mwili wake nakuomba kwa uwezo wa roho mtakatifu na kwa jina la bwana wetu Yesu kristo ukampe uponyaji wa haraka na kumpa tumaini jipya nina yaomba hayo ni katika jina la bwana wetu Yesu kristo.Amen
Mkuu chanjo zinatolewa. Nenda Muhimbili utapatiwa, matibabu pia yapo kwa ufadhili wa WHO.Kumbe matibabu yake siyo ya mchezo, gharama zake ziko juu sana. Sijui ni kwa nini serikali haitoi hii chanjo kwa kila mwananchi ili wananchi waweze kuwa madhubuti kiafya?. Kuliko kuingia gharama kubwa za kujitibu bora serikali ingewekeza kwenye chanjo. Mbona chanjo ya mabusha na matende ambayo hayauwi haraka wameyawekea chanjo ya bure?
Ni huko PM ndiko unakotibikia?Huu ugonjwa unatibika, njoo PM
Ni huko PM ndiko unakotibikia?