Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Unapewa unavyostahili.Ndugu zangu kwa kifupi, ma Binti nao wahitaji huwa sipawati lakn wale nisio wahitaji ndio Wana jilengesha.
Roho Inaniuma sana sijui shida nn.
Sijui sifaham namna ya ku approach.
I feel sad
Anavamia level 😂Hao ndiyo level yako mkuu...
Uzi ufungweTafuta hela