Nateswa sana na jini mahaba

umelalamika tuuu mwanzo mwisho tulia elezea dalili zako kwako zipo ngapi zielezee sasa wewe kulalamaaa
 
Pole pia mkuu mimi nina miaka 9 niko nahangaika lakin inasemekana body haina thamani sana kama nguvu ya kiroho na nafis zinazotumiliki.
 
Ngoja nisimamie hii njia yako,i hope by the grace of God nitashinda...
 
Msaada wa kweli ni Huu kama uko dar tafuta kanisa la eagt city center kwa pastor katunzi google pastor katunzi mtafute kuna jamaa kaponea hapo tatizo hilo hilo ni bure kabisa maombi hapo nenda tu kwa ibada hapo utakuja shuhudia hapa....trust me...
 
Kaka nitafute no.0783600500
 
kula msuba watasepa bila kupenda,ushawahi kuona msela anahangaishwa viumbe hivi?
 

Dini uliyopo inaamini majini, sasa unategemea wataacha kukusumbua? Ushauri mgumu ni kwamba,achana na hiyo dini
 
Piga Maombi kweli kweli,ukichanganya na kufunga,na kuishi katika usafi wa kiroho.Hayana chochote hayo mbele ya Yesu...
 
Tatizo ni moja tu.wazijua amri za MUNGU?
1-usiwe na miungu mingine Ila YAHWE tu
2-Usilitaji bure jina la YAHWE MUNGU wako
3-Usisujudie wala kuitumikia sanamu
4-Ikumbuke siku ya sabato uitakase
5-Waheshimu wazazi wako
6-Usiue
7-Usizini
8-Usiibe
9-Usishuhudie uongo
10-Usitamani mali,wala mke wa mwezio
KUTOKA 20:1-17.
Najua hakuna asiyekosa.Tubu kwa kuvunja amri za MUNGU kwa kujua au kwa kutokujua,naye atakulinda.
Unasema umeenda kwenye madhabahu zite na tatizo bado.Mimi naseka hukubahatika kumfikia MUNGU kutokana na uongo wa wachungaji na viongozi wengine wa dini.Huwezi kwenda kwa mcungaji akuombee wakati kila siku anamchukiza MUNGU kwa kuvunja sheria yake (Mithali 28:9).
*NENDA KANISA LOLOTE LA WA ADVENTISTA WA SABATO.NI NGUMU KUNIELEWA,ILA KAMA KWELI UNA TATIZO HILO NENDA.UTANISHUKURU BAADAE.KWA MSAADA ZAIDI 0625-789 736,0754-384094.
 
Unaweza kuwa unapigana na wrong enemy, jiridhishe na adui unaepigana nae, ni halisi au unabuni, usichoweza kuamini ni kuwa hata watoto waliolelewa na mama bila baba (hasa ambao baba hajulikani) wanapata matatizo Kama hayohayo
 
Upo mkoa gani, njooo mp kama unaitaji msaaaada
Acha kumtapeli kijana wa watu, kuwa na huruma.Dawa ya matatizo ya huyu kijana ni Bwana Yesu tu.

Kinachotokea kwa kijana ni kifuatacho na ukweli ni kwamba hajawahi kumuani Kristo.Kila huyo jini akitoka,akirudi anakuta hali aliyoiacha ndiyo ile ile, yaani Bwana Yesu hayupo, so ni conducive for stay,kwa hiyo anakusanya majini mengine na mateso yanaendelea.

Luka 11:24-26
24 Pepo mchafu amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika; asipoona, husema,

Luka 11:24
25 Nitairudia nyumba yangu niliyotoka.
Luka 11:25

26 Hata afikapo, akaiona imefagiwa na kupambwa(yaani Yesu hayupo), ndipo huenda akachukua pepo wengine saba, walio waovu kuliko yeye mwenyewe, wakaingia na kukaa humo; na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza.
Luka 11:26

Niseme hivi,the only choice na remedy ni kuzaliwa mara ya pili,Bwana Yesu ndiye mapepo na majini wanayemuogopa tu.

Na huyo Binti ambaye unadai anakuombea kaokoka kweli na ana karama ya kuponya,imani na miujiza au mnadanganyana tu?
 
hiyo rangi ya njano unaipataje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…