Shida hatuishi maisha ya utakatifu,ndio maana haya madude yanatoka na kurudi,Pona yetu ni maisha ya usafi kiroho .Makanisa yote nimemaliza.
I've gave up already.[emoji21]
Sent from my Nokia C1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida hatuishi maisha ya utakatifu,ndio maana haya madude yanatoka na kurudi,Pona yetu ni maisha ya usafi kiroho .Makanisa yote nimemaliza.
I've gave up already.[emoji21]
Pole pia mkuu mimi nina miaka 9 niko nahangaika lakin inasemekana body haina thamani sana kama nguvu ya kiroho na nafis zinazotumiliki.Pole Sana! Najua unachopitia maana hata Mimi nna miaka zaidi ya 15 Niko kifungoni kwa tatizo Kama lako.
Mungu kwanini ametuweka Duniani tuteseke hivi? Kwanini ametuanya tuwe wadhaifu wa rohoni kwenye nguvu? Na kuwapa viumbe wengine nguvu ya roho ili watutese hivi?
Au Mungu hakujua Kama tutateseka akitupa nguvu za mwilini pekee?
We'll fave the rest of our lives alone. Sad!
Ngoja nisimamie hii njia yako,i hope by the grace of God nitashinda...Katika kusaidiana kupata msaada wa Mungu,mimi nina jambo ninalolifahamu ambalo ningependa kukupa naamini linasaidia sana,ni very powerful weapon katika vita hizi.
Nalo ni moja tu...JINA LA MWENYEZI MUNGU.
Jaribu kila usalipo utamke Jina halisi la Mwenyezi Mungu kumuomba msaada.
Na uwe unarudiarudia sala hiyo(iwe fupi) mara kwa mara hata utembeapo,uwapo ofisini etc.
Sijui wewe ni dini gani,ila mimi nafahamu Jina la YAHWEH mkuu,Muumba mbingu na nchi.
Sisi wakristo tunapomaliza kusali huwa tunasema KWA JINA LA BABA,MWANA NA ROHO MTAKATIFU.
Sasa hapo mimi hutamka majina halisi,yaani YAHWEH,YAHSHUA na RUACH ELOHIM.
YAHWEH ni Jina kuu la Mwenyezi Mungu,maana yake MIMI NIKO(and bring everything into existence).Halafu YAHSHUA(YESU) maana yake ni YAHWEH NINAYEOKOA na RUACH ELOHIM maana yake ni Roho/pumzi/upepo wa Mungu wenye nguvu na uelekeo according to his purpose.
Sasa hebu tafsiri hili unakuwa unamuita Mungu anayeishi(aliyepo),ambaye amekufanya uwepo,na anaweza kukutendea neno unalomuomba akalifanya likatokea(likawepo),akuokoe kwa kutumia nguvu yake ya kiungu (roho) ije kutenda kile ulichoomba but according to his will.(Huu upepo/Roho ndio tool ambayo Mungu anaitumia kufanya analotaka liwepo likawepo its a certain divine power,force.)
Matamshi haya pekee tayari ni mkataba kati yako na Mungu na sala itakayofuatia lazima itende kazi katika maisha yako kwa namna ya kipekee sana.Nazungumza kitu nilichokiexperience in real life.
Angalizo tu,huwezi kufikia kumuita Mungu kwa kiwango hiki halafu usiwe serious na ulichoomba.Ni jambo lenye uwajibikaji ndani yake.Imeandikwa Kila alitajaye Jina la Mungu na auache uovu.Na pia imeandikwa "Usilitaje BURE jina la Mungu".
Kama umeamua kufikia hatua hii basi uwe na shida yenye uzito wa kufanya hivyo, uwe rohoni umeamua kwa dhati ndipo umuite Mungu kwa staili hii.Vyovyote iwavyo majibu utayapata.Kama uko serious utapata majibu na pia kama hauko serious utayapata majibu yatakayokufanya uwe serious!
Sometimes tukiwa tumeelemewa sana hatuwezi hata kujiamini kutunga sala ili umfikishie Muumba wako.
Kama uko katika hali hiyo,unaweza tu kuchukua biblia,tafuta kitabu cha Zaburi,Soma Zaburi sura ya 10;1-17 kwa ajili ya kupambana vita na roho yoyote chafu.Unaposoma Zaburi hii kila penye neno BWANA sema "El Meez" maana yake "Mungu mtetezi wa wanyonge" na moyoni mwako ukimwona hivyo.Ukimaliza mwambie El Meez nisaidie mimi fulani mwana wa..(tamka jina la kwanza la mama yako).
Atakuja Ruach Elohim kukusaidia kwa nia ya Yahweh akiwa kama El Meez msaada wako.
Zaburi hii ya "kivita" iendane na Zaburi za toba (Zaburi 6 na Zaburi 25).Unaweza usiku kusoma zaburi hizi za toba na asubuhi kabla ya kuanza shughuli zako unasoma ile ya mapambano.Ufanye hivyo mpaka pale utakapoona nafsini mwako kwamba umeomba vya kutosha kilichobaki ni Mungu mwenyewe kujibu,then switch to Zaburi sura ya 8.Ni ya kushukuru,kusifu na kuabudu na kutambua mamlaka ya kibinadamu ambayo Mungu amekupa juu ya nchi na hakuna wa kukuondolea mamlaka hiyo.
Unairudisha mamlaka yako na akili zako kwa Muumba wako na wewe mwenyewe,badala ya kuhofu na kuwaza viumbe wengine walioumbwa kama wewe tu,na hawana cha kukufanya ukisimama na Mungu wako.
God bless you,na ushinde,ukaishi kwa Jina lake.
Msaada wa kweli ni Huu kama uko dar tafuta kanisa la eagt city center kwa pastor katunzi google pastor katunzi mtafute kuna jamaa kaponea hapo tatizo hilo hilo ni bure kabisa maombi hapo nenda tu kwa ibada hapo utakuja shuhudia hapa....trust me...Habari za muda huu ndugu zangu.
Mimi ni kijana Me 26 nimekulia maisha yenye furaha sana mpaka nilipofikia umri wa miaka 24 na kugundua mwili wangu haupo sawa. Yani nasumbuliwa na kiumbe aitwa jini mahaba apo awali nilikuwa nahisi furaha kupata ndoto ya jima na mwanamke ila hasara za huyu kiumbe nimeziona nilipoingia kwenye mahusiano na binti mcha mungu sana.
Ni miaka miwili sasa nateseka kwa aliewahi kupata tatizo langu ni rahisi kunielewa. Nimezungu kwa waganga wa jadi wengi sana wenye uweledi ila nimekuwa nikilitatua tatizo langu kwa kipindi kifupi na kurudi. Tokea nimemtambua uyu kiumbe na kuanza vita nae amezidi kuniandama na kufunga mpaka riziki zangu. Nimefukuzwa kazi, nakataliwa na watu, nadhulumiwa kwenye jasho langu nimekuwa mtu wa kulia sana na kuomba lakini wapi.
Sifahamu ametokea wapi au ametumwa na nani? Ngoja niwaelezee kidogo kuhusu uyu kiumbe na mateso yake kwangu...Uyu kiumbe sio kama mashwetani wa kawaida ukisema akiitwa atazungumza na kueleza dhamira yake. uyu kiumbe anapoona kuna makali ya kumuumiza mfano maombi au dua hutoka na kuondoka na baada ya dawa kuisha hurudi hiyo ndio sababu kubwa ya kushindikana kuondoka kwa huyu kiumbe.
Baada ya kufuatilia mlolongo wa maisha yangu ya nyuma baada ya kutambua nina kiumbe huyu ndani mwangu nimegundua, mwanamke hunipenda ila mimi sitompenda nitamtumia na mwishowe nitamuachia huzuni ya kumuacha, kosa kubwa ni mimi nikimpenda mwanamke zitafanyika hila zozote za kunifanya nishindwane na huyo mwanamke, mfano nitashindwa kumuingilia uyo mwanamke kila nikitaka kufanya hivyo uume hutoweza kufanya lolote ila nikienda kwa mwanamke mwingine naweza niliwahi kuambiwa ni kwamba anapata wivu ndio sababu ya kuniharibia "nimewapoteza bila sababu wengi sana niliokuwa nawapenda nimeumia sana" nipo na mwanamke mcha mungu amekuwa akiniombea na ni strong nadhan ndio moja ya sababu kumshindwa kiumbe huyu
Nimemuingiza katika vita sababu ya upendo wake anapambana sana na mimi katika vita hii, anapata mandoto usiku ya kumtisha anaona wanawake wanamjia na kumwambia umeamua kumfanya unavyotaka sio, baada ya kuwa natumia gharama nyingi kwa waganga kwa ajili ya tatizo langu aliamua kufunga riziki zangu nisipate hata 100 ili nisiweze kufanya jitihada zozote za kumuondoa. Nimeachishwa kazi bila sababu. Apa nilipo sina hata senti.
Vihoja vya mateso kwenye maisha yangu ni vingi sana hata kukumbuka nashindwa nimekuwa kwenye kifungo kikubwa sana nimeenda madhabau mengi na tofauti kanisani, kwa mashekh, kwa waganga ila sijapata auheni zaidi ya uyu kiumbe kuzidi kunipatia mateso. Hivi ninanyoandika nimechoka na kuishi kwa sasa ni mwanamke wangu ambae sina imani katika safari yangu kama nitafika nae.
Nateseka nateseka haswa. Siku uyu binadamu wa karibu yangu pekee atakapo kata tamaa na mimi basi na mimi sitokuwa na budi kuiacha dunia na kupata pumziko la milele, sioni faida ya kuishi apa nilipo nmeuza mali zangu nyingi nilizokuwa nazo ila napota ela bila kujua kufahamu. huu ni moja ya mfano mmoja kati ya mingi ya ajabu iliyonikumba niliwahii kuchukua simu ya mtu nimelekee mteja ili niipaate elf20 ya udalal ila nilienda kushikwa na kuambiwa nimeiiba ile simu na kuwekwa ndani ila baada ya siku2 iligundulika ile simu sio ya wizi imefananishwa nikaachiwa, niliwahi kuitwa interview nilizunguka saa nzima naupita mlango wa chumba cha inteview mpak mda ukaisha.
Katika ndoto usiku naambiwa nawaona wanawake wananiambia wewe si mbishi tutakuonyesha. Nimechoka nahitaji msaada kwa njia yoyote ile inatosha naitaka amani, kuna wakati nalia sana usiku nakuomba...Mwili wangu ni wa nyama vita yang ni ya kiroho Mungu wangu ameniacha. Kuna wakati nawaangalia watu fulani na kutamani kuwa wao na kujiona mimi ni mkosi...Maisha yangu ni ya kulia tuu barabarani, nyumbani, kanisani.
Ewe binadamu unaefahamu msaada wa tatizo langu naomba unisaidie kutoka kufungoni Kwa namna yoyote. Na mungu atakubariki sana.
Asante sana
Usiombee mkuu lije, huwa Linaharibu Hadi ridhiki na wakati mwingine linakufanya uonekane kaa ZombiLiambie lije kwangu ni kulinyandua usiku kucha mpaka kisimi kikauke
Kaka nitafute no.0783600500Habari za muda huu ndugu zangu.

kula msuba watasepa bila kupenda,ushawahi kuona msela anahangaishwa viumbe hivi?Habari za muda huu ndugu zangu.

We unajuaje huenda hilo unalolijibu ndilo lenyewe?Usiombee mkuu lije, huwa Linaharibu Hadi ridhiki na wakati mwingine linakufanya uonekane kaa Zombi
Habari za muda huu ndugu zangu.

Tatizo ni moja tu.wazijua amri za MUNGU?Habari za muda huu ndugu zangu.

Unaweza kuwa unapigana na wrong enemy, jiridhishe na adui unaepigana nae, ni halisi au unabuni, usichoweza kuamini ni kuwa hata watoto waliolelewa na mama bila baba (hasa ambao baba hajulikani) wanapata matatizo Kama hayohayoHabari za muda huu ndugu zangu.

Acha kumtapeli kijana wa watu, kuwa na huruma.Dawa ya matatizo ya huyu kijana ni Bwana Yesu tu.Upo mkoa gani, njooo mp kama unaitaji msaaaada
hiyo rangi ya njano unaipatajeAcha kumtapeli kijana wa watu, kuwa na huruma.Dawa ya matatizo ya huyu kijana ni Bwana Yesu tu.
Kinachotokea kwa kijana ni kifuatacho na ukweli ni kwamba hajawahi kumuani Kristo.Kila huyo jini akitoka,akirudi anakuta hali aliyoiacha ndiyo ile ile, yaani Bwana Yesu hayupo, so ni conducive for stay,kwa hiyo anakusanya majini mengine na mateso yanaendelea.
Luka 11:24-26
24 Pepo mchafu amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika; asipoona, husema,
Luka 11:24
25 Nitairudia nyumba yangu niliyotoka.
Luka 11:25
26 Hata afikapo, akaiona imefagiwa na kupambwa(yaani Yesu hayupo), ndipo huenda akachukua pepo wengine saba, walio waovu kuliko yeye mwenyewe, wakaingia na kukaa humo; na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza.
Luka 11:26
Niseme hivi,the only choice na remedy ni kuzaliwa mara ya pili,Bwana Yesu ndiye mapepo na majini wanayemuogopa tu.
Na huyo Binti ambaye unadai anakuombea kaokoka kweli na ana karama ya kuombea,imani na miujiza au mnadanganyana tu?
Usjal man,chukua BIBLIA soma kitabu cha AYUBU,,utagundua mateso unayopitia ni cha mtoto.....baada ya kusoma AYUBU,Dini uliyopo inaamini majini, sasa unategemea wataacha kukusumbua? Ushauri mgumu ni kwamba,achana na hiyo dini