Nateswa sana na jini mahaba

Mkuu weka wazi nini tutumie ili kuyatoa haya madudu me nimiongoni wanaoteswa na huyu kiumbe mnyama
 
Giza na nuru havikai pamoja unapokuwa ktk maombi anakimbia sababu unakuwa ktk nuru na nguvu ya Mungu ipo ndani yako anarudi baada na kufanikiwa sababu unakuwa umemuacha Mungu upo gizani uponyaji wa hali kama hiyo inakuhitaji uwe na uchaji wa Mungu na maombi endelevu binafsi wewe kama wewe kila wakati ili anapokuja baadae akutane na nguvu ya Mungu baadae
 
Chukua namba za hawa watu wasiliana nao hawa wanamjua shetani ndani nje wanazijua Siri nyingi sana za ushindi wa giza.
Wanauelewa mkubwa Sana wa mambo ya kiroho wameyaishi kwa vitendo wanajua codes zote za kufungua uchawi,majini,nk.
Umelogwa,umefungwa,umetupiwa magonjwa,una shida za kiroho watakupa msaada.

1.Mussa Chesa 0758238524
2.Omari Mnyeshani 0755025821
3.Meshack Hassan 0653025305
 
Hakuna mganga yeyeto awezae mtoa jini mwilini maana wote ni kampuni moja afanyacho mganga ni kukuwekea jini lingine kubwa kuliko ulilonalo Ili limdhibiti yule mdogo,hivyo mganga anapooza na sio anaondoa.
Njia sahihi ni upate mafundisho ya kujiimarisha kiimani Ili ujiimarishe kiroho Ili usisumbuliwe na viumbe visivyoonekana.
Ili visifanye makao ndani yako,maana kuna roho nyingi zilizofukuzwa mahali zinatangatanga kuwavaa watu hasa ukiwa mchafu kiimani.
 
Mkuu upo kwenye great depression. Pole sana kwa maswahibu hayo.
Usikate tamaa.
 
Amen mtumishi asante sana
 
Duh aise, nimejifunza. Iyo ya kuogelea udogon na kuwinda nimeifanya sana
 
Siwez kumwita na kuweka makubaliano na kiumbe anaenitesa sana, hii ni vita simuhitaj nahitaji atoke aniache na maisha yng
 
Dar es salaam
Pole sana sana

Mara nyingi tunaomba bila kujua kuomba ndio maana tunachelewa kuona matokeo ila Yupo Mungu muumba wa kila kitu hajakuacha!

Uko wapi wewe?
 
Pole sana, fanya hivi uwe unapaka mafuta ya kitimoto kwenye uume kila siku unapo lala,Tatizo lako litaisha
 
Pole sana mkuu, naelewa haya mateso. ni vyema kuzungumza ili tatizo litatuke
Kutokana na mada ilinibidi niwe almost wa kwanza ku'share kitu fulani, lakini ni ngumu tena, dooh !

Niseme tuu hauko peke yako, i will be back.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…