Nateswa sana na jini mahaba

Pole Sana! Najua unachopitia maana hata Mimi nna miaka zaidi ya 15 Niko kifungoni kwa tatizo Kama lako.

Mungu kwanini ametuweka Duniani tuteseke hivi? Kwanini ametuanya tuwe wadhaifu wa rohoni kwenye nguvu? Na kuwapa viumbe wengine nguvu ya roho ili watutese hivi?

Au Mungu hakujua Kama tutateseka akitupa nguvu za mwilini pekee?

We'll fave the rest of our lives alone. Sad!
 
Ukiwa na Mungu utakuwa na uwezo wa kuvitiisha viumbe vyote na avitokusumbua
 
15 yrs hujapona. Why
 
15 yrs hujapona. Why
Bro! Nikitibiwa Leo nalapa afadhali nikiondoka tu eneo la tukio.. Anarudi kwa nguvu na nnapata kupigo maradufu.

Nimekata tamaa kabisa. Nawasa tu kwa Sasa mazishi yangu yakifika soon nichomwe moto.
 
Nataman sana nipate ushuhuda wa mtu aliponywa kabisa kwenye ili tatizo, alifanyaje
Bro! Nikitibiwa Leo nalapa afadhali nikiondoka tu eneo la tukio.. Anarudi kwa nguvu na nnapata kupigo maradufu.

Nimekata tamaa kabisa. Nawasa tu kwa Sasa mazishi yangu yakifika soon nichomwe moto.
 
Pole sana.
Hao jamaa wakitoka wanavunga wanasikilizia hali ya hewa tu, ukiwawekea mazingiracsawa wanarudi na moto ule ule.

Ukiamua kupiga ndumba basi piga haswa na ukiamua maombi piga maombi haswaa
Uko sahihi, hapa chagua moja ushinde kwa waganga au upige goti......ila solution nikupiga goti tu MUNGU yupo na atakusimamia na kukutoa hapo ulipo
 
Makanisa yote nimemaliza.

I've gave up already.[emoji21]
Unachokosa hapo ni IMANI. Ishi maisha yenye kumpendeza Mwenyezi MUNGU kama hizo habari utazisikia tena.Naongelea kupitia experience. Wewe ni Mkristo Mkatoliki?
*Utawala wa shetani huwa haupingani hata siku moja,hvyo waganga hawawezi kuwa suluhisho.
 
Pole sana, fanya hivi uwe unapaka mafuta ya kitimoto kwenye uume kila siku unapo lala,Tatizo lako litaisha
Pia na mafuta ya Zaituni yanasaidia kimtindo me huwa nanunua Kila mwisho wa mwezi pale magomeni kuna jamaa anayauza 2000TZS
 
Kama hayajakukuta kaa kimya......! Dunia hii ni zaidi ya Uijuavyo!
 
Mkuu weka wazi nini tutumie ili kuyatoa haya madudu me nimiongoni wanaoteswa na huyu kiumbe mnyama
Msaada wa kwanza.

Uliza kwenye asili yenu, kuna ambaye hayo mambo yanayokusibu wewe yaliwahi mkuta? Waulize wazee, babu bibi kama wapo. Usipopata namna ya ku deal nayo huko,

Unaweza ku deal nayo wewe kama wewe, lakini inataka moyo na ubishi
Maana mimi sitakuelekeza kwa mganga! Ntakuelekeza ukutane nalo live uso kwa macho alafu ndo umwambie sasa unachotaka kumwambia, kama hiwezi achana navyo komaa we pambana na maisha kibishi, likiona hueleweki nalo halitaeleweka vile vile maana hujali..

Ni madhaifu pia ukiyapatia.
 
Mkuu njoo inbox nikupe Uzoefu wangu, nilipita kwenye njia Kama yako and I'm still fighting...
 
Tena amshukuru na kumuomba mungu sanaa. Kufuru ni mbaya sana.
Unajua hii mada imekuja hapa si kwa bahati mbaya, tena ukute kuna wahanga wengi sna ila hawajui watapata suluhisho wapi, hebu km una majibu tupeni tupate kupona, hii ni vita tutumie silaha zoteee.
 
Njoo inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…