ndugu wala usijutie kitu ni kawaida tuMGOGO! Ngoja nifanye mazoezi maana j4 nakutana na wazungu fulani lazima nijiweke sawa. Mimi nipo Halmashauri fulani (Jina kapuni) sasa hao wazungu wanataka kuja kuwekeza lazima tuongee nao kwa kina! Daah Aisee namlaumu Babu wa Taifa hili kwa kukazania KISWAHILI tu. Ona sasa tunavochoreka na Digrii zetu za SAYANSI. the the the kibao. Najuta kusoma Bsc.
Hahahahahahaha.Just relax ulimi ulainike.
Usifikirie jambo kwa kikabila ndo ulitransilate kwenda kingereza ila fikiria kwa kingereza moja kwa moja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna siku nilienda ofisi fulani nilikuwa na shida na marketing manager katika hiyo ofisi kubwa tu.
Baada ya kumweleza secretary kwa ufupi akaenda kuniitia bwana.
Yule jamaa alikuwa mzungu inaonesha anatokea london mjini kabisa kwa akina blair, kingereza chake kilikuwa hakieleweki yaani anacharaza kama cherehani, labda akiongea ufanye kuandika kwanza. Yaani ilikuwa aibu pale.
Ili kujinasua, nikatema yai broken mfulululizo bila kumpa nafasi ya kuongea halafu nikasema thank you, nikamwambia secretary utamwelekeza vizuri kama nilivyokwambia eeh!
Ndio maana hiyo lugha siipendagi kabisa.
Ameze dawa gani aweze kujiamini na anakuambia kasoma masomo ya sayansijiamini
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kuna siku nilienda ofisi fulani nilikuwa na shida na marketing manager katika hiyo ofisi kubwa tu.