Nathubutu kusema nimeushinda uraibu

Usimwage kuku wengi Kwenye mchele.

Huyu dogo atajutia sana uamuzi wake wa kuacha nyeto mana Jmos ijayo itakuwa ya moto sana kwenye uzinduzi, na huwezi kuingia ukumbini bila kupiga bao tatu mfululizo mlangoni 😎
 
Ulikuwa mraibu wa nin mbona umekimbia
 
vitu vinavyo ongoza kwa uraibu
1.kujichua/kujizini mwenyewe PUNYETO
2.ULEVI pombe,sigara,mihadharati madawa ya kulevya,mirungi
3.KAMARI michezo ya kubahatisha
4.Kununua NGONO,uzinzi,uasherati,umalaya
5.Kwenda kwa waganga wa kienyeji ukishaanza tu kukanyaga kwa mganga mmoja utawamaliza waganga wote wa ndani na nje ya nchi..mikoa yote
6.Mitume na manabii wa uongo..mafuta ya upako..kuombewa
7.Simba na Yanga
8.Michezo ya sinema za kuigiza,tamthiliya,series movies
9.Soda,energy drinks chips yai
10.Mikopo kausha damu ,vikoba,mikopo mikopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…