Nathubutu kusema UEFA champions league Atletico Madrid ndio mabingwa 80% loading

Kabla hatujaendelea mbele zaidi na huu mjadala,kwanza tuakikishie kwamba AT wasipochukua kombe hutaacha soka.

Maana wewe kwa nadhiri,unatisha
 
Mkuu, pana dhana katika mashindano haya kuwa timu inayoitoa FC Barcelona katika hatua ya robo fainali ndo inakuwa bingwa. Ngoja tuone mwisho wake.
 
Mkuu, pana dhana katika mashindano haya kuwa timu inayoitoa FC Barcelona katika hatua ya robo fainali ndo inakuwa bingwa. Ngoja tuone mwisho wake.

Mbona msimu ule Atletico anamfunga Barcelona final anakutana na real Madrid akafungwa atletico. Tena Barcelona alifungwa kwenye quarter-final hiyo ilikuwa 2014
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…