Sruali itakuwa inambana hiyo......!Hiyo picha ya mwanzo mbona umenyanyua suruwale hapo mbele..... Kulikoni......?
we nawe hamnazo kweli....mi nilidhani utademand picha ya hiyo sehemu badala ya maelezo...
hahaha maswali yako yanafurahisha....
week end njema sista
...bado.ila nipo ktk mchakato....