Natinga Kenya kumlinda Ruto na Serikali yake

Natinga Kenya kumlinda Ruto na Serikali yake

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Raila na genge lake wana bahati mimi na vijana wangu hatukuweza kufika kabla ya maandamano kwasababu imetubidi twende Marekani Kwanza kumsaidia Trump asikamatwe.

Ila baada ya ishu ya Trump kuimaliza tunashuka Nairobi. Ole wake Raila na genge lake waitishe tena fujo tutatembeza mkong'oto wa aina yake.

Hatutaki upuuz ukanda huu wa Afrika mashariki na maziwa makuu.

Ruto just count on me am on my way coming. Relax and move on.
 
Back
Top Bottom