Nation Media as a propaganda machine for Kenya Government

Nation Media as a propaganda machine for Kenya Government

You are very wrong, mtu yeyote anaruhusiwa kutoa au kuandika habari kwenye gazeti ilimradi mhariri anakubaliana nayo. Huyu mtu anaweza kuandika mawazo yake, kitu alichokiona au wahi kukiona, anachofikiri chenye mantiki au uchambuzi.

Mimi ni Mtz lakini sijawa offended na huyo jamaa, kwani ameandika vitu anavyoona Kenya inavyo ktk East Afrika. Kwamfano anasema data zinaonyesha kuwa idadi ya magari waliyoagiza Wakenya yamekuwa mengi kuliko yaliyoagizwa na nchi zingine za EAC kwa pamoja au anasema Wakenya wana trained teachers 50,000 ambao ni jobless nk sasa haya yanakuuma nini?

Yaani Mkenya aogope kuandika mambo kama haya kwa lipi? ethics za uandishi zimepotoshwa wapi na vipi? au ninamiss kitu!
Sina hakika kama ndugu yangu Nemesis umeelewa lengo kuu la Geza kuleta habari hii. Nafikiri mnazungumzia mambo tofauti klabisa.

Nilichomuelewa Geza, ni kuwa anaiponda habari kwa kuwa na taarifa nyingi za kupikwa kwa maslahi ya kujikweza. Kwa mfano wanaandika kuwa magari yanayoagizwa Kenya ni zaidi kuliko yale yaagizwayo na nchi zote nyingine za EAF. Hapa kwa mtu yeyote angekuwa na walakini! Na kwa ukweli habari kama hizo ni za kitapeli na mtanzania hawezi kusema eti acha waandike tu kwa vile wanaandika juu ya nchi yao. Hii ni hatari sana, kwani hatujui kesho wataandika nini juu ya habari kuwa watanzania wananyanyaswa nchini Kenya.

Unasema kuwa mtu anaweza kuandika chochote kile katika gazeti ilimradi gazeti lenyewe limemruhusu. Hapa unakosea sana, ni lazima kila mmoja wetu awajibike na anachokisambaza, na Gazeti vile vile ni lazima liwajibike na taarifa iliyoandikwa Gazetini kwake. Zingatia sana neno ETHIC AND MORAL VALUES katika uandishi. Ukiandika ndio umeandika, mimi kama msomaji nitachukua kama kilivyoandikwa na si kosa langu.

Media ni ktu muhimu sana katika jamii, ni kutokuelimika na kutoelewa madhara ya taarifa ya uongo iendayo katika jamii. Ninasikitika sana kusoma eti hayo waliyoyaandika sisi hayatuhusu. Hapa sielewi hata kidogo kwani walipoandika kuwa Mlima Kilimanjaro upo Kenya hapo ilikugusa, vipi leo hizi habari za Takwimu za Magari hazikuhusu?

Kumbuka sehemu kubwa ya faida ya EAF kama izungumziwavyo ni Biashara. Na yeyote atayedanganya katika maeneo ya biashara amedanganya EAF nzima. Tuwe macho na tusikubali kudanganywa katika hili.
 
Mkuu umemuelewa vyema GezaU, PONGEZI.
Hawa watu wanatabia ya kujishindanisha na wanaowazunguka kwa takwimu za uongo. Hili mimi binasfi limenigusa sana, maana linaongelea eac kwa UJUMLA. lingekuwa linaongelae ndani ya nchi yao, mathalani kikUyu kasoma kuliko jaluo, au kikuyu mwizi kuliko luya. hilo nisingejisumbua hata kusoma. lkn uongo katika suala la eac ni sumu kubwa katika KUAMINIANA. ITAKUWA NI NDOA YA WATU AMBAO WANAOGOPANA NA KILA MMOJA AKIMSHUKU MWENZAKE.
KUNA PROPAGANDA NYINGI AMBAZO NATION MEDIA WANAENEZA. mfano WAKENYA WANAKUJA, JE NCHI NYINGINE WANA EAC MKO TAYARI? wanaongea KANA KWAMBA kenya ni Japan (ina uwezo kama Jp kiviwanda) ambayo inatuuzia karibu kila kitu nchini. lkn kwa sisi ambao tumekaa kenya na kufanya tafiti nyingi tunaona ni taifa ambalo linaangamia, halina muelekeo WALA UTARATIBU. NDIYO MAANA KILA MMOJA ANATOA KAULI YAKE. HATA MTU ANDIRIKI KUSEMA KILIMANJARO IKO KENYA, WALA SERIKALI YA KENYA HAITOI TAMKO LOLOTE, WANABAKI KUJIONA ETI WAKO AGGRESSIVE KUMBE WIZI MTUPU.

MWISHO NASEMA, EAC IMEKUFA HATA KABLA TA KUANZA, NA NDIYO MAANA HATA UKILINGANISHA NA EAC YA ZAMANI, HII EAC MPYA IMEDUMAA. HUU NI MWAKA WA KUMI NA MOJA BADO SUALA LA PASI ZA KUSAFIRIA HALIJASHUGHULIKIWA IPASAVYO, WAKATI ILE EAC YA MWANZO NDANI YA MIAKA KUMI TAYARI WALIKUWA NA MAJENGO YA KUTISHA, MABASI/MAGARI YASIYO NA IDADI, MELI, NDEGE, TAASISI ZENYE NGUVU KAMA EAC POST.
HII NI NDOA YA WATU AMBAO HAWAAMINIANI. NA KILA MMOJA WETU ANAJUA MATOKEO YA NDOA YA NAMNA HIYO.

PIA AKSANTE GEZA KWA KUTAMBUA HUO UNYANG'AU.
 
Businessman aka Mangumashi Smatta anasemaje kuhusu post hiyo hapo juu? Haya tueleze na biashara zako ya 'kanyabwoya'.
 
Back
Top Bottom