Nation Status towards Development

Nation Status towards Development

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Najaribu kufikiri kwa kina !

Inavyoonekana Rais Wetu Mhe. Samia Suluhu Hassani anatuelekeza kuwa na umoja wa kitaifa kwa ajili ya kuendeleza Taifa.

Amegusa maeneo yote muhimu yalioonekana ni MATATIZO MAKUBWA na hivyo kuja na approach mtambuka.

Ni muhimu kulielewa hili uwe mwanaCCM,Pro Magufuli ,Mpinzani n.k.

Hebu sasa tujenge muelekeo huo kama Taifa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Chadema ,Mbowe na lissu hawana budi kulielewa hili
 
Back
Top Bottom