Nationa Isurance Corporation(NIC) ni washenzi

lover

New Member
Joined
Dec 13, 2011
Posts
4
Reaction score
1
kwa wale waliopeleka application zao NIC nasikia zilikua zinawekwa ktk dustbin,ivyo inakuaje mtu amesoma zaidi ya miaka kumi shule alafu chet chake anakitupa ktk dustbin kama akijui alaf anasema anaaply kazi?
 
Punguza munkari kaka, jenga hoja mkuu inawezekana una hoja ya msingi ila umeandika kwa jazba sana
 
Weka vizuri ili tukuelewe halafu tuchangie
Mie nilipeleka fizicale na ni kweli niliweka ktk dustibin ila haikugonga ubongo wangu kwani nishayaona sana office za serikali, mfano TRA pale nasaco ya zamani, na application za jeshini mwaka juzi
 
kwa wale waliopeleka application zao NIC nasikia zilikua zinawekwa ktk dustbin,ivyo inakuaje mtu amesoma zaidi ya miaka kumi shule alafu chet chake anakitupa ktk dustbin kama akijui alaf anasema anaaply kazi?
Una ushahidi kwa unayoongea?but kama haukuwa shortlisted cv na vyeti vyako havina kazi tena mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…