Hii benki ya NBC inataka kupata faida kirahisi. Kwanza 1% charges kwenye deposit and withdrawal services is too high. Deposit and withdrawal are basic services of the banking, so banks should not put very high charges on these services.
Huyu MD wa NBC bwana Mafuru naona labda ameshindwa kazi yake. Benki hapa Tanzania ziko nyingi sana, wateja wa NBC mkafunge accounts zenu. Benki zinatakiwa kujifunza kutoka kwa makapuni ya simu ili watoe huduma bora kwa gharama nafuu na sio huduma mbovu kwa gharama ya juu.
Benki Kuu (BOT) inabidi ifuatilie 'kama hawafanyi hivyo' benki za biashara kama NBC ambazo zinataka kuwacharge wateja gharama kubwa kwenye huduma zake kwa nia ya kupata faida kirahisi.