NATIONAL BANK OF COMMERCE Introduce 1% deposit and withdrawal charge

NATIONAL BANK OF COMMERCE Introduce 1% deposit and withdrawal charge

Watu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Posts
3,231
Reaction score
1,471
Take Note: NATIONAL BANK OF COMMERCE Introduce 1% deposit and withdrawal charge on amount deposited or withdrawn
 
Ntafuta akaunti yangu sasa maana hamna benki iliyo mbaya hapa tz kama hii
 
NBC wanaowavua nguo wafanyakazi wao kisa inspection.................... bado wameoza kweny management yao.
 
Kesho nitaenda kuhakikisha gharama hizi pale customeer service nikijua kweli basi ntaifunga a/c yangu papo hapo..............
 
mkuu ina maana mwenye account akichukua au akiweka TSH 10M atakatwa TSH 100,000 ...Duhhhh...... sipati picha
 
Take Note: NATIONAL BANK OF COMMERCE Introduce 1% deposit and withdrawal charge on amount deposited or withdrawn

Weka maandiko yako sawa. Hiyo 1% deposit ni kwa customers walioweka pesa pale wanalipwa hivyo! Ndio unamaanisha hivyo??? Na hiyo withdrawal charges mbona huwa zipo? Hebu weka maandishi yako sawa unamaanisha nini?
 
Watapoteza wateja wengi sana......karibia wote
 
Duh kwanini wameweka 1% deposit charge?? ina maana wanataka ku discourage watu wasi deposit au??
 
Mwenye taarifa kamili atujuze hizo charge zinaanza kutumika lini? Mimi nimeweka pesa jana na sijaona charge yoyote kwenye account yangu amounting to 1% of the depoisits.
 
Hii benki ya NBC inataka kupata faida kirahisi. Kwanza 1% charges kwenye deposit and withdrawal services is too high. Deposit and withdrawal are basic services of the banking, so banks should not put very high charges on these services.

Huyu MD wa NBC bwana Mafuru naona labda ameshindwa kazi yake. Benki hapa Tanzania ziko nyingi sana, wateja wa NBC mkafunge accounts zenu. Benki zinatakiwa kujifunza kutoka kwa makapuni ya simu ili watoe huduma bora kwa gharama nafuu na sio huduma mbovu kwa gharama ya juu.

Benki Kuu (BOT) inabidi ifuatilie 'kama hawafanyi hivyo' benki za biashara kama NBC ambazo zinataka kuwacharge wateja gharama kubwa kwenye huduma zake kwa nia ya kupata faida kirahisi.
 
Take Note: NATIONAL BANK OF COMMERCE Introduce 1% deposit and withdrawal charge on amount deposited or withdrawn

Mmm, ina maana nikiingiziwa mshahara wangu say 1,500,000 nitatozwa TShs. 15,000.

Nikichukua matumizi yangu mpaka zote ziishe nitalipa tena TShs. 15,000.

:smile-big:Hii ni biashara nzuri kwao kuliko hata ya kukopesha pesa
 
mkuu ina maana mwenye account akichukua au akiweka TSH 10M atakatwa TSH 100,000 ...Duhhhh...... sipati picha

Du !! Eeeeh kaazi kweli kweli sasa in maana ukiweka 10M wanachukua 100,000 ukitoa wanachukua tena 100,000?
 
mi naona wenye akaunti huko wote tuhamishe ndo watakoma
 
Take Note: NATIONAL BANK OF COMMERCE Introduce 1% deposit and withdrawal charge on amount deposited or withdrawn

Yaani hizi benki zetu za TZ ni balaa tupu. Yaani naadhibiwa kwa kuweka pesa zangu? Lol! Yaani ukiweka 1 milioni elfu kumi inaondoka hapohapo, ukichukua milioni 2 elfu ishirini inaondoka, mhhhhhh! Nafikiri wameamua kuwapunguza wateja makusudi wabaki na matajiri tu huko.
 
Huu ni wizi tu.Mi nilichokuwa nafahamu ni kuwa kwa sasa mteja wa NBC anapotaka adhoc statement,atatozwa Tsh 3000 per page.
 
Weka maandiko yako sawa. Hiyo 1% deposit ni kwa customers walioweka pesa pale wanalipwa hivyo! Ndio unamaanisha hivyo??? Na hiyo withdrawal charges mbona huwa zipo? Hebu weka maandishi yako sawa unamaanisha nini?

Yes withdraw charge zipo ilikuwa ni 600/- kwa kila amount utakayotoa na CRDB wanacharge 700/- kwa kila withdraw unless huwa husomi statement zako??

Now they will charge you 1% of any amount you withdraw, ya deposit wamefuta after massive complaints from customers!!!!
 
Back
Top Bottom