NATIONAL BANK OF COMMERCE Introduce 1% deposit and withdrawal charge

NATIONAL BANK OF COMMERCE Introduce 1% deposit and withdrawal charge

Ata wenye saving account au ni wale wa current account tu??,maana wengine vimishahara vyetu ni vidogo sana,sasa wakwangue tena 1% hii ni hatari sana....
 
I'm proud to be kenyan...Madudu kama haya kenya hamna.....Hizi ndio huduma za most ya bank za kenya

  • No minimum operating balance
  • No ledger fees, maintenance fees and no monthly charges
  • Affordable minimum account opening balance
  • ATM card on application......
  • Account accessible at any branch
  • Cheque book facility available
  • Free monthly account statement
  • No cash deposit or cheque handling charges
  • Free internal standing orders
  • Free photos captured on account opening.
 
I'm proud to be kenyan...Madudu kama haya kenya hamna.....Hizi ndio huduma za most ya bank za kenya


  • No minimum operating balance
  • No ledger fees, maintenance fees and no monthly charges
  • Affordable minimum account opening balance
  • ATM card on application......
  • Account accessible at any branch
  • Cheque book facility available
  • Free monthly account statement
  • No cash deposit or cheque handling charges
  • Free internal standing orders
  • Free photos captured on account opening.

Yoyo nifanyeje ili na mm niwe mkenya kama wewe niepukane na haya mabalaa? Nahisi kuchoka na hili li tanzania maana nmb nayo wana yao eti ukideposit cash kwenye account isiyo yako unachajiwa-sikumbuki % na kuomba balance nako kunachajiwa. Mimi najiuliza hivi huyu mtanzania mlalahoi akimbilie wapi kwenye nafuu? Maana akigeuka huku kwenye maji na umeme nako inabidi awalipie na EWURA bill ya Gym USD 200 per person per month. Mungu kwani sisi tumekosa nini kikubwa ambacho wakenya na wengineo hawajakukosea hata uruhusu mafisadi watutese kiasi hiki?
 
Pia NMB wameweka a kind of such charges, tofauti ni kuwa nyingi ni kwa wale laio kwenye matawi yasiyo ya kwao ambacho ni kitu cha ajabu pia.
Lakini ukweli unaweza baadaye ukaja kuwa on how to invest in Tanzania ...INVEST, OPERATE, HARVEST and GO AWAY (or CHANGE BUSINESS NAME)
I'm proud to be kenyan...Madudu kama haya kenya hamna.....Hizi ndio huduma za most ya bank za kenya


  • No minimum operating balance
  • No ledger fees, maintenance fees and no monthly charges
  • Affordable minimum account opening balance
  • ATM card on application......
  • Account accessible at any branch
  • Cheque book facility available
  • Free monthly account statement
  • No cash deposit or cheque handling charges
  • Free internal standing orders
  • Free photos captured on account opening.
 
Yoyo nifanyeje ili na mm niwe mkenya kama wewe niepukane na haya mabalaa? Nahisi kuchoka na hili li tanzania maana nmb nayo wana yao eti ukideposit account isiyo yako unachajiwa-sikumbuki % na kuomba balance nako kunachajiwa. Mimi najiuliza hivi huyu mtanzania mlalahoi akimbilie wapi kwenye nafuu? Maana akigeuka huku kwenye maji na umeme nako inabidi awalipie na EWURA bill ya Gym USD 200 per person per month. Mungu kwani sisi tumekosa nini kikubwa ambacho wakenya na wengineo hawajakukosea hata uruhusu mafisadi watutese kiasi hiki?
benki za kenya hawachaji monthly fees na ukifungua ni just a mins na ATM card unaipata within 15mins....pia hamna deposit wakati unaweka fedha....

proudly kenyan
 
NBC imeharibika kabisa, kwanza huduma zao mbovu halafu pia nadhani huenda ni kampeni za Mabank ya Nje hapa nchi yanayochipuka kila siku ili kuua bank kubwa kama NBC,Kwanza walicho fanya ilinunuliwa na Makaburu halafu Bank iliyo nunua ikauzwa kwa standard Bank,sasa standard Bank itaanza kukua kwa kasi huku NBC ikiendelea kufa kwa kuwa na uongozi Mbovu wa akina Mafuru ambao wanawanyima wafanyakazi wa chini bonus huku walio juu wanagawana Bonus peke yao,wengine viduchu na Mafuru alishasema anafurahi sana Mtu akiacha kazi wala hajali ndiyo maana yake kwakuwa eti watu wengi wanataka kazi, hivyo basi wafanyakazi wanakata tamaa kabisa na ndiyo maana kuna ubabaishaji wa hali ya juu NBC sijawahi kuona.

Haya yote yametokana na viongozi wetu kuuza Bank hii kwa Bei chee kwa kisingizio cha uwekezaji kumbe ni Unyonyaji wa na wizi wa mali ya umma sasa imebakia wanaua Bank na Bank a Nje zinakuwa siku Watanzania watakapo amka kwenye usingizi wa pono na kudai NBC yao itakuwa imekuisha kujifia na haina tena Mvuto kwa wateje na ndiyo itakuwa imetoka hiyo,Serikali imekuwa mara nyingi inaishia kukumbatia wawekezaji Matapeli wanao tumaliza Ndiyo maana tunataka katiba Mpya ya wananchi sio ya viongozi ili tudhibiti maozo kama haya yanayotia kinyaa jamani.

Mimi sio mtu wa mambo ya finance lakini mtu hawezi kunishawishi faida ya kuuza NBC BANK zaidi naona ni ujanja tu wa Bank za Nje ambao walikuwa contenders wa NBC ili waiue halafu wao wachukue soko,tukiamka hatuta dai Standard tutadai NBC ambayo itakuwa imekufa kibao kimeguzwa Bank za nje zinatamba.


Hata SPM Mgororo tulifanyiwa hivyohivyo walinunua kiwanda kikubwa amabcho kilikuwa competator wao wamekiua sasa aaa karatasi wanauza tu sisi tumefanywa wajinga ktk Nchi, hata Bora kiwanda kiko wapi? nilisikia limekuwa Godown aaaa wawekezaji wanaleta viatu huku wakulima wao wakiuza Ngozi zao na sisi kiwanda cha ngozi kinadidimia.jamani tuamke tukatae haya mambo ya mikataba ya akina karl peter.
 
barclays bure
ceo wa kibongo unaanza kuboronga, labda kazi kubwa kuliko wewe
angalia wenzako ie kimei na mama mwambenja wana heshima kwenye jamii. ukiendelea utakuwa kama ma ceo wazee wa zamani walioua makampuni
 
Hii ni hatari kwa kweli, inabidi kufunga akaunti!
 
naomba mtu anidhibitishe hilo kwa ushahidi nikafute acount yangu mara moja maana bank zipo kabao ktk karne hii
 
Hebu Nendeni kwenye Youtube muone Video ya "Confenssion of an economic hitman" muone jinsi ujasusi katika mambo ya kiuchumi unavyoziumiza nchi mbalimbali.
Katika hiyo video jamaa anaelezea kinagaubaga jinsi Marekani ikishirikiana na World bank kwa kutumia makampuni ya Kimarekani yanavyoziteka nchi mbalimbali na kuzifanya kuwa tegemezi kiuchumi.
People Wakeup, Babylon system is at work!
 
Back
Top Bottom