National bank of commerce is under bank of tanzania......


sure! Hata mim nashangaa sana. Ila hata hvyo ukisoma ndan wameandika mambo mengine
 
Iread this morning in one among English written newspaper that NBC is under B.O.T eye while its doors are open........Veeeeeery Bad news....Mweeeh...J.K NYERERE alilia ili kupinga hii benki isiuzwe....

Mim namashaka namuandishi. Nadhani kuna kundi la watu wanataka kuonyesha hii bank ni mufilisi, lakin mim nasema sii kweli. NBC NI MOJA YA BANK ZINAFANYA VIZURI SANA ILA UPO MKONO WA WATU AMBAO WANATAKA HII BANK IUZWE NA IKIWEZEKANA NBC IPOTEZWE KABISA, JAPO NAIMAN HAWATO FANIKIWA, NINA IMAN SERIKAL YA JK NA WAZIRI WA SASA WA FEDHA WATAENDA KUIPOKONYA BANK HII MIKONON MWA MAFISI AKA MAFISADI. PIA NAKA KUWAHAKIKISHIA WADAU PAMOJA NA MAKASHESHE YOTE NBC INA AZINA KUBWA YA FEDHA, SII ZA TSH PIA ZA KIGENI, MABANK YOTE YANATEGEMEA KUTOKA KWETU, DEPOSIT ZIPO JUU HIVYO HATUNASHAKA NA JAMBO LOLOTE, SEMA TU KUNA KAZ YAKUPUNGUZA OPERATION COST ZISIZO ZA MUHIMU NA KUPATA MD ALIE MZALENDO kwakweli. Mungu ibariki NBC TZ 45 YEARS IN SERVICE.
 
Oya hebu tuambieni vizuri!Mnasema kwamba wenye hela huko imekula kwetu?

Sivo hivo. Anachosema NBC haiwezi kuhimili ushindani/competition hivo inaelekea kufa kifo asili ie natural death.
 
Kwa UFUPI NBC NA BARCLAYS NI BENKI ZA KUZIOGOPA SANA KWA SASA,MAANA ZINA HALI MBAYA KIFEDHA NA TAJIRI NI MMOJA HUKO UK BAADA YA KUINUNUA absa sa inayoimiliki nbc tz
 
Kila benki iko under BOT regulation/supervision lakini sio BOT ADMINISTRATION!! Kama benki hiyo iko chini ya BOT administration then benki ina hali mbaya sana na bwana Mafuru will be directly responsible na matatizo hayo.

inakuwa under WATCH LIST....
 
Duh..ngoja nichukue changu kabisa..sasa nikaifadhi wapi salama
 

mkuu sina uhakika km business times wangeweza kuandika front page habari km hiyo,ukizingatia taarifa km hz zinaleta reputation risk kubwa sana kwa benki...Hata kama wali bypass certain clues,I'm confident that something fish is going on pale NBC,sio bure mkuu....
 
so,it is about to become solvent,withdraw your cash immediately,hali mbayaaaaa,na rostam aziz akisema naye achukue zake zote za crdb,ngoma itakuwa inogile,daaaa,haya mabenki haya,cjui turudi ka zamani tuweke hela zetu kwenye mitungi???
 
Nimefuatilia nikagundua hizi taarifa sio za kweli. NBC inaendelea na operations zake kama kawaida. Pengine mtu aliwaona Examiners wa BOT wapo kwenye Inspection za kawaida akastuka.
 
Nimefuatilia nikagundua hizi taarifa sio za kweli. NBC inaendelea na operations zake kama kawaida. Pengine mtu aliwaona Examiners wa BOT wapo kwenye Inspection za kawaida akastuka.

Kabisa mkuu.Hao ndiyo waandishi Makanjanja! Cheki hiyo statement chini Nimeipata toka mjengwa blog (Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo: Taarifa Kwa Umma Kutoka Benki Kuu Ya Tanzania)

Taarifa Kwa Umma Kutoka Benki Kuu Ya Tanzania



Katika Gazeti la Business Times toleo nambari 1248 la Ijumaa, tarehe 10 Agosti 2012, ziliandikwa habari zenye kichwa cha habari chenye maana kuwa “Operesheni za NBC zawekwa chini ya usimamizi wa Benki Kuu”. Katika habari hiyo ilielezwa kuwa Benki Kuu imechukua hatua hiyo kufuatia ripoti za tuhuma kadhaa zihusuzo udhaifu katika uendeshaji wa benki na utawala bora.


Benki Kuu inapenda kuchukua fursa hii kuueleza umma kuwa haijaweka operesheni/shughuli za NBC chini yake. Benki hiyo inajiendesha yenyewe kwa kufuata utaratibu wa Sheria za Makampuni, 2002, Sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha 2006 na miongozo itolewayo na Benki Kuu kama zilivyo benki zingine. Wateja wa NBC na Umma kwa ujumla wanashauriwa kuendelea kufanya biashara na benki hii kama kawaida.


IMETOLEWA NA BENKI KUU YA TANZANIA11AUGUST 2012
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="align: center"]Reactions::[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mbona kila benki ipo under B.O.T eye wewe unaona kitu kipya kwa NBC

Utaelewa tu, jifanye mgeni sana na mambo haya ya kibenk. Hii ni dalili mbaya sana na habari kumwagika ni dalili mbaya zaidi.
 

asante sana mkuu....ni kweli BOT wamekataa.....lakini..kuna walakini hapa...TIME WILL TELL....
 
Nilitegemea gazeti lingehoji wakuu wa nbc na BoT kabla ya kuandika. Hapa lazima watasababisha hasara kwa benk hii.

WASHITAKIWE

Ndio maana mimi huwa siyaamini haya magazeti yetu. Maana waandishi wenyewe wana certificate za vichochoroni. Habari kubwa kama hii ambayo ina uwezo wa kuporomosha benki kwa kuondoa imani ya wananchi wao wanaandika tu kama kitu light light. Aisee kweli njaa kitu mbaya sijui huwa hawasomi ethics.
 
Marekebisho kidogo hapo sina tatizo na wasi2 wako naungana nawe lakini Banki zote Tz ziko under BOT,sema kunakuja tatizo ikiingilia kt na kuimanage Bank hapo ndo tatizo linakuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…