Unajua uhai wa benki yeyote ni deposit za wateja.Na hizi deposit za wateja zinakuja kwakuwa wateja wana imani na hiyo benki au taasisi ya fedha. Sasa habari kama hizi hata kama za uongo zinaleta panic, wateja wakishapagawa wanaenda kupanga mistari kwenye counter na ATM's kutoka kutoa pesa zao wengine wanaenda VISA n.k. Pesa nyingi ikishatoka hapo ndio panakuwa hapatoshi BOT hapo inabidi i play smart either watoe zile pesa za hiyo benki zilizowekwa BOT ili wateja walipwe huduma ziendelee upepo mbaya upite na imani irudi au BOT wastopishe kwa kuhisi kwamba imani ya wateja haitarudi na kile kidogo kilichopo kitunzwe ili kigawanywe vizuri baadae.
Naona hilo gazeti lililoandika hii habari halikufikiria repucursions za habari kama hizo.
sure! Hata mim nashangaa sana. Ila hata hvyo ukisoma ndan wameandika mambo mengine
