fadhili jumanne
Member
- Jun 23, 2014
- 17
- 6
Yani kuna watu humu wamo kukatisha wenzio tamaa sio fresh mbadilike mnajijua! Watu wa nacte tusubiri j3 mana hata walioenda ofisini kwao waliambiwa hivyo
me sijaelewa vyuo vyote tulivyoomba wameshatoa majina na hatumo sasa tusubirie sis nacte kuna yetu special au hapa nshachanganyikiwa mm
me sijaelewa vyuo vyote tulivyoomba wameshatoa majina na hatumo sasa tusubirie sis nacte kuna yetu special au hapa nshachanganyikiwa mm
Jamani mimi nimeshau password yangu yaani mpaka nawaza sijui itakuwaje
mimi nimeelewa kuwa hy j3 tutakuta status kwny profile zetu waliochaguliwa watakuta status ya SELECTED..if not selected utatakiwa uchague machaguo mengn..kwa hy kwa kifp watu wa dip selection bado hazijatoka rasmi