fadhili jumanne
Member
- Jun 23, 2014
- 17
- 6
National Council for Technical Education (NACTE) TANGAZO WANAFUNZI WALIOMBA SHAHADA YA KWANZA
Matokeo yametoka ya awamu mbili na yamesha pelekwa vyuoni kwa ajili ya uhakiki. Tunapenda kuwa taarifu kuwa, kuanzia juma tatu mtaona kwenye PROFILE zenu. Ambao wamechaguliwa wataona- SELECTED
Ambao hawajachaguliwa -
WATEWEZA KUBADILI MACHAGUO YAO.
Asanteni. Source nacte fb