mimi nimeelewa kuwa hy j3 tutakuta status kwny profile zetu waliochaguliwa watakuta status ya SELECTED..if not selected utatakiwa uchague machaguo mengn..kwa hy kwa kifp watu wa dip selection bado hazijatoka rasmi
Jamani mimi nimeshau password yangu yaani mpaka nawaza sijui itakuwaje
Jamani mimi nimeshau password yangu yaani mpaka nawaza sijui itakuwaje
Jamani mimi nimeshau password yangu yaani mpaka nawaza sijui itakuwaje
Wapigie watu wa NACTE wanaweza kukusaidia.polee.
Haya jamani mambo tayari kwa wale wa diploma. Open profile yako uone mie kwangu inasoma selected sijui zenu vipi wadau?
Kutokana na ubabaishaji tunao tendewa na hii inazidi kudhorotesha elimu yetu
Mnasema inawezekana hazijatoka rasmi mbona wengine wamechaguliwa?