National Council for Technical Education (NACTE) Wanafunzi walioomba Shahada ya kwanza

National Council for Technical Education (NACTE) Wanafunzi walioomba Shahada ya kwanza

mimi nimeelewa kuwa hy j3 tutakuta status kwny profile zetu waliochaguliwa watakuta status ya SELECTED..if not selected utatakiwa uchague machaguo mengn..kwa hy kwa kifp watu wa dip selection bado hazijatoka rasmi

dah asante mwaya maana hapa nshakata tamaa na mawazo mengi
 
Jamani mimi nimeshau password yangu yaani mpaka nawaza sijui itakuwaje

Ingia kwenye email yako inbox...kuna msg ya adimsion nacte walikutumia....ifungue utaona email yako na pasword yako
 
Haya jamani mambo tayari kwa wale wa diploma. Open profile yako uone mie kwangu inasoma selected sijui zenu vipi wadau?
 
Haya jamani mambo tayari kwa wale wa diploma. Open profile yako uone mie kwangu inasoma selected sijui zenu vipi wadau?

fafanua mkuu, ulia apply diploma?! mana hapa tangazo linahusu degree na ni mpaka jumatatu
 
Poleni Sana naumia utadhani ni Mimi ndiye ninaepitia situation kama yenu.

Ila Mungu mkubwa lisemwalo lipo kuweni wavumilivu naamini hyo j3 na nyie mambo yatkuwa mazuri.

Ila hawajui tu nyie wa Equivalent mnahtaji mda zaidi kwa wale ambao wamesha ajiriwa process ya ruhusa nayo huchukua mda mrefu pia.

NACTE muwe na roho ya kibinadamu pia.
 
Niliapply degree kwa qualification za diploma je wewe?
 
Mnasema inawezekana hazijatoka rasmi mbona wengine wamechaguliwa?
 
Mnasema inawezekana hazijatoka rasmi mbona wengine wamechaguliwa?

Si ndio hapo kaka?

Hawa jamaa hata hawaeleweki. wanataka kutuaminisha kuwa kuna vyuo vitatoa 2nd batch nakubaliana nao ila kuna baadhi ya vyuo 4m6 waliopata wamejaza kila kitu mf UD BAED 1170 na tcu guide book inaonesha uwezo wa chuo ni watu 1170 i.e kumeshajaa.

NACTE bhana daah.
 
wameanza angalia prof yako utaon mabadrio now
 
mi bado ila tuu capcity ya vyuo ndo inasoma 000 asolo viwili tu
 
si uende kwenye mail yako xxipo kule kama au unatumia toch tukusaidie labda ka uliifuta na kule
 
Yaani mimi profile yangu kwenye capacity kote wameandika 0, no xtra information.

Yaani tutauana kwa presha.
 
Problem ni kwamba diploma holders wengi hamjitambu.

Ud was not ment for you guy kwenda pale ni feva tu kwa sababu ya mfumo wa elimu ni tofauti na qualification yako. Mzumbe, na vinginevyo vinavyo fanana navyo ndio vyuo vilivyo wekwa maalumu kwa kada yenu form six kule ni feva pia.

On ATC haingii form 6 kabisaa kwa sababu sio pake pale jaama. Mnanibore diploma mnaofanya elimu yenu kama altenative ya 6.
 
Back
Top Bottom