Baba Imani
Member
- Jul 15, 2011
- 79
- 15
Wanajamii nimekuwapo Dodoma kwa siku mbili na ni eons niwasilishe tetesi hii ambayo haina ubishi tena. Leo jioni baada ya bajeti ya Ngereja kupita Waziri Mkuu aliandamana na Wabunge wetu kuelekea eneo beyond Chimwaga (kwa wale ambao hawajawahi Kigoma hapa Dodoma, Chimwaga ndiko palipo Chuo Kikuu Cha Dodoma). Ninaposema beyond Chimwaga namaanisha um Ali upatao fifteen more or less kilometers from town centre. Huko walienda kukagua eneo patakapojengwa nyumba zao. Nyumba hizo zitakuwa tayari ifikapo December 2012. Tunao Wabunge 387.Kabla ya hapo walipitia eneo la Medeli kuona nyumba zilizokwisha kamilika na tayari kwa kuuzwa. Katika complex hiyo kutakuwa na kola huduma za jamii na hivyo hapatakuwa na haja ya wao kutegemea mambo yore ya muhimu kiuchumi wanayopata kwa sasa hapa mjini.Wanajamii wenzangu kimsimngi wazo hilo Mie silipingi isipokuwa nimeptwa na mshawasha kuwa kuna uwezekano mkubwa kitendo cha kuwaengua hawa wateja katika uchumi mkuu ama soko mchanganyiko la wanadodoma na kuwa-confine kwenye mikono ya kampuni chache say a supermarket chain, etc, kutasababisha matatizo katika socioeconomic setup and prosperity ya wanajamii wa hapa. Naomba Mwongozo wenu ndugu zangu katika mstakabali wa taifa letu.