National Institute Of Transport{NIT}

National Institute Of Transport{NIT}

ham ha

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2013
Posts
283
Reaction score
48
Jaman Wadau Hiki Chuo Mbona Hawatoi Selection Halafu Website Yao Sijue Ikoje Au Ndo mpaka Tcu? Mwenye Kujua Atujuze au Aliewasiliana Nao. Maana tumechoka Kusubiri.
 
Jaman Wadau Hiki Chuo Mbona Hawatoi Selection Halafu Website Yao Sijue Ikoje Au Ndo mpaka Tcu? Mwenye Kujua Atujuze au Aliewasiliana Nao. Maana tumechoka Kusubiri.
niaje mr ham ha (we mchina nini!!) kuna uzi ambao unazungumzia hiki chuo! please tafuta ndani ya hili jukwaa.. nimezungumza mengi sana na wadau.. naamini na wewe utaambulia mengi!
 
Last edited by a moderator:
Nilienda jana pale kuchukua admission letter nikawauliza na hili la lini watatoa majina ya watu waliopangiwa chuoni kwao, wakaniambia wao ilibidi yatoke juzi(jumatano) ila watu wao wa ict ndio wanakwamisha

Mi nilibahatika kuliona jina langu kupitia airtel yatosha
 
At Least Mmenipa Mwanga. Asanteni Wakuu.
 
wewe ucjali majina mbona tcu washafanya yao ndugu.. ww ingia tcu.. cas kwenye admited waweka jina lako.. na namba yako.. af unaona ulikopelekwa..
 
Back
Top Bottom