Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niaje mr ham ha (we mchina nini!!) kuna uzi ambao unazungumzia hiki chuo! please tafuta ndani ya hili jukwaa.. nimezungumza mengi sana na wadau.. naamini na wewe utaambulia mengi!Jaman Wadau Hiki Chuo Mbona Hawatoi Selection Halafu Website Yao Sijue Ikoje Au Ndo mpaka Tcu? Mwenye Kujua Atujuze au Aliewasiliana Nao. Maana tumechoka Kusubiri.