national institute of transport

national institute of transport

tendega

Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
61
Reaction score
13
wadau nifahamishen, hiv nit wamegraduate mara ya ngap kwa watu degree?then why mkopo ni piority kwa chuo kile 2,tena ni koz zote
 
Mi Mwenyewe Nataka Kufaham Mtusaidie Mnaejua.
 
nadhani ni kwa kuwa ni institute ya serikali hivyo wanakipa mkopo priority ili kukipromote zaidi. kwa ngazi ya degree sijajua kina mua gani tangu waanze kugraduate. ila pia wanatoa na post graduate diploma na master za kozi mbalimbali. nadhani kitu pekee pale ni kutoa degree ya transport and logistics management ambayo kwa tanzania hii hakuna chuo kingine kinachotoa kozi hiyo.
 
upande wa degree ni mwaka wao wa kwanza b4 walkuwa wanatoa diploma na co kwel et courz zote pale znapewa mkopo mf.bachelor degree in logistics and transport management (tuition fee=9,50,000😛ossible loan=9,50,000 bt is non-priority xoma vzuri utaona bt n bonge la courz
 
hapo kwenye red ni 950,000
 
Kwa digrii sio mwaka wa kwanza nadhani wana miaka zaidi ya miwili
 
upande wa degree ni mwaka wao wa kwanza b4 walkuwa wanatoa diploma na co kwel et courz zote pale znapewa mkopo mf.bachelor degree in logistics and transport management (tuition fee=9,50,000😛ossible loan=9,50,000 bt is non-priority xoma vzuri utaona bt n bonge la courz

Kaka vp procurement and logistics management ni priority?
 
oi nimechaguliwa logistix and transport mngnt....nimepata room maeneo ya karib na chuo...ambae yupo tyr tuish pamoja anilipe nusu ya kodi...nimelipa kwa miez sita..na kwa mwez ni 50000 so nmelipa 300000...ambae yupo tyr tukifika chuo tuchekiane atanrudishia 150000,,,,phone # 0717382652,0752846841
 
nadhani ni kwa kuwa ni institute ya serikali hivyo wanakipa mkopo priority ili kukipromote zaidi. kwa ngazi ya degree sijajua kina mua gani tangu waanze kugraduate. ila pia wanatoa na post graduate diploma na master za kozi mbalimbali. nadhani kitu pekee pale ni kutoa degree ya transport and logistics management ambayo kwa tanzania hii hakuna chuo kingine kinachotoa kozi hiyo.

Mkuu chuo kinatoa degree kwa mwaka wa 3 sasa
 
upande wa degree ni mwaka wao wa kwanza b4 walkuwa wanatoa diploma na co kwel et courz zote pale znapewa mkopo mf.bachelor degree in logistics and transport management (tuition fee=9,50,000😛ossible loan=9,50,000 bt is non-priority xoma vzuri utaona bt n bonge la courz

Sory ivi wanaitaji vigezo gani kusomea hii cozi?namaanisha uwe umesoma combi gan na ufaulu kiasi gani?
 
Back
Top Bottom