National Intelligence and State Intelligence

National Intelligence and State Intelligence

Kitengo kina fani mbalimbali na kila mtu ni specialist,
Huwez fanya kwenye hiyo idara bila kuwa mtaalam wa jambo fulani

Mfano;Kama lissu angeletwa muhimbil wataalam wangemalizia phase 2

Mbowe aliwaza vema
Mimi huko simo mkuu... Makala haihusiani na unchosema....
 
Mkuu huyo Yericko ameshaandika mengi sana yanayoihusu hii nchi, je yamefanyiwa kazi? Kuliko aendelee kupaka rangi upepo na wakati ana kipaji si ni bora aandike kuhakikisha kipaji chake hakipotei. Halafu ukiona Yericko hafanyi unavyotaka wewe, basi wewe andika kuisifa Tanzania na kuelimisha hao wakulima wa korosho na vijana wengine wa kitanzania.
Msamehe tu huyo ndugu hajui atendalo
 
Mmmh sasa mtaalamu anapiga risasi 30+ bila kuua mtu? hawa watakuwa wapambe wa raisi hawana mafunzo
 
Kwahiyo ile ya Oysterbay Eagle Wing House inawakilisha National Intelligence au State Intelligence Mkuu Yericko Nyerere? Nasubiri majibu yako nikitambua kuwa hauna mshindani katika haya masuala ya Kijasusi humu JF nzima na umetukuka kabisa kwa Ujasusi.
Nashukuru kwa kunielewa mzee wangu
 
Mnakimbilia sana utamaduni wa magharibi tujenge nchi yetu na maneno mepesi ya kueleweka Kwa hadhira pana

Yericko wew ni mwandishi mzuri sana tabia yako ya kuipenda sana marekani na kuitolea mifana huo ni utumwa wa fikira

Kule twitter umepost habari za kitabu cha fire and fury sasa nikuulize tu maudhui ya kitabu hicho yanamsaidia nn mkulima wa korosho au wananchi wa kawaida wanaoishi Kwa mlo mmoja na pengine Kwa kutegemea ruzuku kutoka Kwa wahisani ndugu na jamaa

Badilikeni

Kijana msomi kama wewe unapaswa kumulika matatizo ya taifa lako na kuyasemea wazi Kwa hadhira bila kumung' unya maneno

Mossad inamsaidia nn mamantilie anaehangaishwa na mgambo wa jiji ?
There is a point to some extent.
 
Ujumbe uko wazi.Nafikiri what is being asked here, ni kupatikana mfano kutoka ndani ya Tanganyika as you did for Zanzibar kwenye miaka ya 1980+.
All in all, you're doing a good job brother. Salute...!
Shukrani sana mkuu
 
Kitengo kina fani mbalimbali na kila mtu ni specialist,
Huwez fanya kwenye hiyo idara bila kuwa mtaalam wa jambo fulani

Mfano;Kama lissu angeletwa muhimbil wataalam wangemalizia phase 2

Mbowe aliwaza vema
Siyo sahihi acha kuhadaika na matini za kijasusi za magharibi na mazingira ya Tanzania

Kama mauaji yangepangwa na majasusi lissu asingeondoka Dodoma mzima

Hawa majasusi huwa wana option zote zinazowezekana katika mazingira ya kumpoteza mlengwa

Shambulio LA lissu lisifananishwe na ujasusi hao ni washamba tu kutoka kabila Fulani ama kikundi Fulani cha wapumbavu wachache ndyo wanaweza kuharibu risasi kiasi hicho sio jasusi

Jasusi kitendo cha risasi kumkosa mteja wake mahali nyeti kama kichwani na tumboni ni dhambi isiyofutika kwake na Kwa mwajiri wake pengne huweza kupelekea yeye kupoteza ajira au kuuwawa na mwajiri wake
 
Mimi na wewe labda tule damu za hedhi haya kaa chini utulie.
I think people need to STOP trying to read something into everything and quit making mountains out of mole hills!
 
Back
Top Bottom