Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #21
Mimi huko simo mkuu... Makala haihusiani na unchosema....Kitengo kina fani mbalimbali na kila mtu ni specialist,
Huwez fanya kwenye hiyo idara bila kuwa mtaalam wa jambo fulani
Mfano;Kama lissu angeletwa muhimbil wataalam wangemalizia phase 2
Mbowe aliwaza vema
Eheehee sasa kikiwa haramu kinaitwaje?Kisichopo kisheria ni illegal?
Msamehe tu huyo ndugu hajui atendaloMkuu huyo Yericko ameshaandika mengi sana yanayoihusu hii nchi, je yamefanyiwa kazi? Kuliko aendelee kupaka rangi upepo na wakati ana kipaji si ni bora aandike kuhakikisha kipaji chake hakipotei. Halafu ukiona Yericko hafanyi unavyotaka wewe, basi wewe andika kuisifa Tanzania na kuelimisha hao wakulima wa korosho na vijana wengine wa kitanzania.
Eheehee sasa kikiwa haramu kinaitwaje?
Ujumbe uko wazi.Nafikiri what is being asked here, ni kupatikana mfano kutoka ndani ya Tanganyika as you did for Zanzibar kwenye miaka ya 1980+.Kusoma huelewe, na picha huioni?
Nashukuru kwa kunielewa mzee wanguKwahiyo ile ya Oysterbay Eagle Wing House inawakilisha National Intelligence au State Intelligence Mkuu Yericko Nyerere? Nasubiri majibu yako nikitambua kuwa hauna mshindani katika haya masuala ya Kijasusi humu JF nzima na umetukuka kabisa kwa Ujasusi.
Lete ukweli wa SergioUongo wa yerico
There is a point to some extent.Mnakimbilia sana utamaduni wa magharibi tujenge nchi yetu na maneno mepesi ya kueleweka Kwa hadhira pana
Yericko wew ni mwandishi mzuri sana tabia yako ya kuipenda sana marekani na kuitolea mifana huo ni utumwa wa fikira
Kule twitter umepost habari za kitabu cha fire and fury sasa nikuulize tu maudhui ya kitabu hicho yanamsaidia nn mkulima wa korosho au wananchi wa kawaida wanaoishi Kwa mlo mmoja na pengine Kwa kutegemea ruzuku kutoka Kwa wahisani ndugu na jamaa
Badilikeni
Kijana msomi kama wewe unapaswa kumulika matatizo ya taifa lako na kuyasemea wazi Kwa hadhira bila kumung' unya maneno
Mossad inamsaidia nn mamantilie anaehangaishwa na mgambo wa jiji ?
Shukrani sana mkuuUjumbe uko wazi.Nafikiri what is being asked here, ni kupatikana mfano kutoka ndani ya Tanganyika as you did for Zanzibar kwenye miaka ya 1980+.
All in all, you're doing a good job brother. Salute...!
Kipo duniani koteKisichopo kisheria hakipo!
Siyo sahihi acha kuhadaika na matini za kijasusi za magharibi na mazingira ya TanzaniaKitengo kina fani mbalimbali na kila mtu ni specialist,
Huwez fanya kwenye hiyo idara bila kuwa mtaalam wa jambo fulani
Mfano;Kama lissu angeletwa muhimbil wataalam wangemalizia phase 2
Mbowe aliwaza vema
I think people need to STOP trying to read something into everything and quit making mountains out of mole hills!Mimi na wewe labda tule damu za hedhi haya kaa chini utulie.