Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa kila hospitali inatibu Covid 19 kadri inavyoona inafàa. Hakuna mwongozo maalumu wa kitaifa kutoka mamlaka husika.
Nasema hivyo kwa sababu nimeuguza wagonjwa kadhaa including me katika hospitali tofauti tofauti na kushuhudia kila hospitali inatoa dawa kadri inavyoona inafaa.
Reference ya kusema hivyo ni kuwa katika fani ya kutibu magonjwa huwa kuna standard regimen ambayo hutolewa na wizara husika/taifa to guide treatment of diseases.
Mfano, malaria treatment policy ipo treatment guide ya kitaifa, malaria isiyo kali, standard drug ni ALu given according to weight. Kwa Covid 19 nadhani hakuna mwongozo rasmi. Mwenye kujua anisaisie na kunielimisha.
There is an array of drugs being used differing from one hospital to another ukiacha oxygen support.