Nationalization of Kenya airways

Nationalization of Kenya airways

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
12,780
Reaction score
6,480
MPs propose nationalisation of Kenya Airways to revive carrier

National Assembly transport committee proposes nationalisation of KQ & formation of Aviation Holdings Company to run KAA & KQ.

In Summary
• Committee recommended establishment of an Aviation Holding Company.
Kenya Airways aircraft

The National Assembly’s Transport committee has recommended nationalisation of Kenya Airways as a bold step to overturn the fortunes of the struggling national carrier.
If the report gets the nod of MPs then government will move in and clear huge debts owed by the carrier and take it off private hands making it one of the state corporations.

The debt-ridden Kenya Airways owes CBA group Sh 3.1 billion, NIC bank Sh 2.1 billion, Equitty bank Sh 5.2 billion, National Bank Sh 3.5 billion, Co-operative bank Sh 3.3 billion, KCB Group Sh 2.1 billion and similar amount to DTB bank.

The committee chaired by Pokot South MP David Pkosing at the same time recommended establishment of an Aviation Holding Company with four wholly owned subsidiaries.

In the proposal, Pkosing team wants the creation of KJIA Company incorporated to manage JKIA as an international hub, ground handling and catering services.
The committee also recommended revision of Kenya Airports Authority’s mandate to maintain at least one serviceable airstrip in each county for purposes of security, health and other emergencies.

The arrangement will also see creation of a centralised Aviation Services College and Kenya Airways remaining a national carrier.

Ninyi si huwa mnasema serikali haipaswi na haiwezi kufanya biashara, private sector ndio inafaa ifanye biashara, mbona mnatafuna matapishi yenu?. Hovyo kabisa ninyi, hamjui kitu mnachotaka, mnatapatapa na kujaribu kuiga Tanzania kwa kila tunachofanya.
 
Porojo katika ubora wake
.
 
Utaifishaji na ubepari wapi na wapi, ndiyo mambo ya kujifunzia pome ukubwani haya.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ninyi si huwa mnasema serikali haipaswi na haiwezi kufanya biashara, private sector ndio inafaa ifanye biashara, mbona mnatafuna matapishi yenu?. Hovyo kabisa ninyi, hamjui kitu mnachotaka, mnatapatapa na kujaribu kuiga Tanzania kwa kila tunachofanya.
Serikali yenu ovyo kabisa, angalia ATCL, Bagamoyo, Ukusanyaji wa Kodi TRA, BRT(imekuwa Kama daladala), ona SGR "kwa
a pesa zetu" na hatuwezi sahau Koroshow na ubadilishanaji wa sarafu.

KQ Ina zaidi ya Ndege 40 ukilinganisha na ATCL iliyo na Ndege 7 bila betri 🤔🤔
 
Hahaha!!! We jamaa unazingua kweli.
 
Serikali yenu ovyo kabisa, angalia ATCL, Bagamoyo, Ukusanyaji wa Kodi TRA, BRT(imekuwa Kama daladala), ona SGR "kwa
a pesa zetu" na hatuwezi sahau Koroshow na ubadilishanaji wa sarafu.

KQ Ina zaidi ya Ndege 40 ukilinganisha na ATCL iliyo na Ndege 7 bila betri 🤔🤔
Hahaha ,mgonjwa anajaribu kumtibu daktari hapo. Hiyo ni picha gani sasa isiyo na utaratibu?
 
Serikali yenu ovyo kabisa, angalia ATCL, Bagamoyo, Ukusanyaji wa Kodi TRA, BRT(imekuwa Kama daladala), ona SGR "kwa
a pesa zetu" na hatuwezi sahau Koroshow na ubadilishanaji wa sarafu.

KQ Ina zaidi ya Ndege 40 ukilinganisha na ATCL iliyo na Ndege 7 bila betri 🤔🤔

Ahaaa haaa haaa
Acha uongo. KQ ina ndege 3 tu. Zingine you hired them from ghost companies. Teh teh teh tihiii you also pay money to the very very same ghost companies.
 
Bado hamjaacha kujiliwaza? KQ wame'lease' ndege 20 tu kati ya ndege zao 40. Hizo tatu ni gani tena?
press-jpg.1042923
 
Acha ukichaa wako, juzi uongozi wa KQ ulitoa maekezo juu ya ndege walizo sub-lease kwa Turkey Airline, walitaja wazi kwamba
20 planes wamekidisha
3 planes ni Mali ya KQ
17 planes zipo katika mortgage, bado wanalipa kidogokidogo
 
Ahaaa haaa haaa
Acha uongo. KQ ina ndege 3 tu. Zingine you hired them from ghost companies. Teh teh teh tihiii you also pay money to the very very same ghost companies.
Yet you and your ilk compare it to ET, SA and not your rusty ATCL. BTW Mumbai mnatua lini juu tayari New York na Uchina tushafika na hizo tatu?
 
😁😁😁 Sasa huyu mgonjwa mahututi badala ya kupeleka ICU anawaishwa moja kwa moja mortuary kwa speed ya viwango vya kimataifa.
 
If I may ask,
Who owns KQ?
48% by GOK
38.8% by KQ lenders (Kenyan banks mentioned above)
7.8% by KLM
5.4% by employees and other shareholders

😂😂😂😂 najua umengoja sana kuona wazungu na Kenyatta lakini lo! Kampuni ni ya kiKenya ya waKenya
 
If I may ask,
Who owns KQ?
48% by GOK
38.8% by KQ lenders (Kenyan banks mentioned above)
7.8% by KLM
5.4% by employees and other shareholders

😂😂😂😂 najua umengoja sana kuona wazungu na Kenyatta lakini lo! Kampuni ni ya kiKenya ya waKenya
 
Acha ukichaa wako, juzi uongozi wa KQ ulitoa maekezo juu ya ndege walizo sub-lease kwa Turkey Airline, walitaja wazi kwamba
20 planes wamekidisha
3 planes ni Mali ya KQ
17 planes zipo katika mortgage, bado wanalipa kidogokidogo
[emoji1][emoji1][emoji1] Nimependa hizi tune zinavobadilika ghafla kama kwenye nyimbo za Ohangla.
 
Back
Top Bottom