music like any other musician
'wanaigizaje' jinsia nyengine?Lakini natishika na baadhi ya waimbaji wa kiume kule kuigiza jinsia nyengine!
Kwani kuna ubaya gani? Bora hao waimba taarabu kuliko waliopo mtaani hawana a wala b.
'wanaigizaje' jinsia nyengine?
Kuimba ni kipaji. wana kipaji, kama mzee Yusuf, ametushiii. nawe kajaribu kuimba walau kibwagizo tu, utakoroma.
Mi naona ni kama fani nyingine.. Tena wanaume waimba taarab huwa wanavimaneno fulani vitamu kusikiliza..
mbona husemi unatishika na ze comedy
Na nguo zao za kike?
Sauti zina nini na hivyo vidole juu inakuwaje?Sauti na kuweka vidole juu!
Nimekutafutaje ! Mama ya Boma ? Nimeanzia Siasa holaa !
Habari mchanganyiko holaa !
Sijui International, najua uko wodini, lakini, ndy uzuri wa Prvt Hosp, Doctor nimeongea nae nikafanya nae manuva kaniruhusu niku'pik na nikureshe asubuhi, twen'zetu my love ukanipe .
Pumzisha kichwa na majukwaa , si ndiyo ?
hahahaha! Nakuja mpenzi. Ngoja nikamuage cousin wangu kwanza.
Lakini natishika na baadhi ya waimbaji wa kiume kule kuigiza jinsia nyengine!