Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nafahamu kidogo sana juu ya hili...mara nyingi wanaume wanaopenda(wasikilizaji na waimbaji) muziki wa twaarabu wana asili ya mwambao...tanga,pwani,zenj na kwingineko!...ambako huko nako kuna husianishwa na mambo ya UWANI!...akina KIBELA...LOL
na kiukweli wale watu sauti zao na pozi zao zina uFEMININE!...
BTW sipendi taarab!
Jawabu: Soma tena nilichoandika sioni pahala nilipoeleza kuwa nilikuwa nafatilia Taarab!Nakushangaa! Kitu kinakukwaza lakini kumbe ndio kila siku hakikupiti!
Unabrowse huku unaenjoy taarab ya Mzee Yussuf kisha unatudanganya eti inakukwaza!
Au una kisa kingine hutaki kukisema?
Urijali unapimwaje?