mtu kama mzee yusuph kuenesha urijali wake ana mke zaid ya mmoja...
mbona hukwaziki na ze comedy wanaovaa nguo za kike na kuiga sauti kabisa ....
ni sanaa tu mkuu na sanaa ina wigo mkubwa
cheki hii clip mzee yusuph alvyokuwa DC na mashabiki wake ..
Kuanzia dk. ya 7 ni kufuru!
[video]http://www.eastafricantube.com/media/70298/Mzee_Yusuf_LIVE_in_New_York_Ci ty/[/video]
Kumbe Mnyani na ww ni mpenzi wa Taarabu...
Mimi kwa Taarabu ndio mwenyewe, taarabu ina raha yake bana, Wabara wengi hawajui mambo ya
kimwambao......nawapa pole
Boflo umeamka?
Umejuaje kama nilikuwa nimelala??????? uko sahihi monkey
Na tena ulikuwemo njozini mwangu
Hahahahaaa haya bana.
Kumbe Mnyani na ww ni mpenzi wa Taarabu...
Mimi kwa Taarabu ndio mwenyewe, taarabu ina raha yake bana, Wabara wengi hawajui mambo ya
kimwambao......nawapa pole
Kinachonikwaza mimi kwa hawa wanaume wanaoimba taarab ni yale maneno wanayoyatumia..
Hayajakaa kiume kabisa!!
ahhaahh Rejao maneno yepi hayooo au yale Arambaa Arambaa ammmmmmmmmm! au pale anaposema selala nautia kasi?Kinachonikwaza mimi kwa hawa wanaume wanaoimba taarab ni yale maneno wanayoyatumia..
Hayajakaa kiume kabisa!!
Lakini natishika na baadhi ya waimbaji wa kiume kule kuigiza jinsia nyengine!
Bora tu wabara wasijue mambo ya kimwambao.
Mwanamme gani kiuno legelege, jicho nusu mwezi, kidole kinapepea hewani kama antena ndogo za TV?
Labda kwa kuwaangalia tu, but for consumption, hell NO.
apo sawaKinachonikwaza mimi kwa hawa wanaume wanaoimba taarab ni yale maneno wanayoyatumia..
Hayajakaa kiume kabisa!!
hahahahahaha wachanicheke miye,Mx