Natishika na Wanaume wanaoimba Taarab

...mwanaume ataimbaje taarab bana...
..ina swagger za kike...

...kisichoeleweka nin hapo...?
 

Ndugu yangu ukiipenda au usiipende hiyo taarabu unaenea Bara hebu angalia Bongo fleva( nyimbo kama za kina Offsidetrick) nayo imeshaaingiliwa na mtindop wa Kitaarabu!
 
Nakushangaa! Kitu kinakukwaza lakini kumbe ndio kila siku hakikupiti!

Unabrowse huku unaenjoy taarab ya Mzee Yussuf kisha unatudanganya eti inakukwaza!

Au una kisa kingine hutaki kukisema?
Jawabu: Soma tena nilichoandika sioni pahala nilipoeleza kuwa nilikuwa nafatilia Taarab!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…