harry kassege jr
Member
- Nov 12, 2016
- 10
- 2
waingereza ndio walitawala dunia kipindi hikoWazulumiwa ardhi yao na waingerezaa
ndiomana nimekwambia historia inasema hao ndio wenyeji halisi waingereza walipokuja waliwakuta hao jamaa kama watu wa mwanzo hapo(tribe) but inasemekana kuwa wanaasili au uhusiano na sehemu nyingine pia lakini haijathibitishwa wapi wengine wanasema Russia nkHivi kuna uhakika gani kuwa wao ndo wenyeji na kwamba hawakutoka sehemu zingine?
Wanauhisiano mkubwa na walatinondiomana nimekwambia historia inasema hao ndio wenyeji halisi waingereza walipokuja waliwakuta hao jamaa kama watu wa mwanzo hapo(tribe) but inasemekana kuwa wanaasili au uhusiano na sehemu nyingine pia lakini haijathibitishwa wapi wengine wanasema Russia nk