Native Americans ,unawajua wenyeji wa marekani?!

Native Americans ,unawajua wenyeji wa marekani?!

Joined
Nov 12, 2016
Posts
10
Reaction score
2
native Americans au red Indians hawa ndio inasemekana kuwa ni wenyeji halisi wa marekani,bado kuna maoni mengi ya wanahistoria na watafiti kuhusu watu hawa,na pia maswali mbali mbali maana inasemekana kuwa hawana uhusiano wowote na wahindi wa India na pia jina hili walipewa tu Christopher Columbus na vilevile walitoka maeneo mengine pia,kuna wanaosema wanaasili ya Russia nk
unafahamu nini kuhusu native Americans?!
 
Sasa watawa chukia vipi wenyeji kama kusema makubulu kule south Africa ile nchi waliwakuta watu weusi leo wanadai ni nchi yao
 
Hivi kuna uhakika gani kuwa wao ndo wenyeji na kwamba hawakutoka sehemu zingine?
ndiomana nimekwambia historia inasema hao ndio wenyeji halisi waingereza walipokuja waliwakuta hao jamaa kama watu wa mwanzo hapo(tribe) but inasemekana kuwa wanaasili au uhusiano na sehemu nyingine pia lakini haijathibitishwa wapi wengine wanasema Russia nk
 
Wanauhisiano mkubwa na walatino
 
Back
Top Bottom