NATO hatakiwi kishinda vita hii maana hana nia nzuri na dunia hii

Kutarajia nchi huru ijilegeze na kujiachia itekwe na kukaliwa na mvamizi ni wazo lisilo na mantiki kabisa. Sio kwa nchi makini.

Ni ajabu sana kuwa kuna watu wana hamu kubwa ya kuona Ukraine ikiacha Urusi iichukue kirahisi rahisi tu eti ili kuwakomoa NATO! You’ve no clue what you’re wishing for! Sijui huu ujinga wa kutegemea ukombozi wa dunia toka Russia unatoka wapi?
 
Huu uzi una ujinga mwingi sana. Ungetumia muda kujifunza kidogo kuhusu Sheria za kimataifa kuhusu taratibu za kuvamia nchi nyingine ingekusaidia zaidi.
Labda na wewe nikuulize, kuna nchi ambazo ni majirani wa Urusi na ambazo Urusi amekuwa akizitisha au kuzivamia wakati mwingine, je nazo zimvamie kwa sababu ni adui?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Akishinda mwenye kupenda ushoga dunia itaangamizwa mara moja
 
Shoga yoyote hawezi kukaa na mwanaume wakaongea kiume wakamaliza tofauti zao,Ukrein haina raisi bali inakivuli cha NATO kinachoongoza nchi ya Ukrein
Ukraine Ina rais imara sana, ona anavyopambania nchi yake dhidi ya mvamizi, anamtoa kamasi Punga Putin
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…